Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 71,328
- 105,743
Hata mi naona hako ni kamsumali bana atarukaruka tu. Eti wanadai ndege wameevolve toka kwa baadhi ya dinosaurs lakini hawaelezi kwanini kuna tofauti nyingi mno ya hawa ndege je kila aina ilikuwa na dinasaur wake je ni yupi Anchiceratops, Alxasaurus au aina nyingine?
Soma post # 78 halafu uijibu point by point. Mimi nimesoma kidogo mawazo tofauti kuhusu mwanzo wa maisha, nimesoma biblia na sayansi. Kwa hiyo naweza kui dismantle biblia point by point.Ningependa na wewe unavyokuja kuzisambartisha points zangu uje point by point.
Umesoma evolution? Unaelewa nini namaanisha kwa kusema "geological scale of time"? Unafahamu historia ya penicillin? Unafahamu natural selection ni nini? Unafahamu "survival of the fittest" ni nini? Unafahamu antibiotic resistance kutoka kwa bacteria ni nini? Inasababishwa na nini?
Sio kudandia mjadala na kutoa shutuma za jumla jumla.Nimebreak down issues hapo juu kwenye post # 78, hebu chngia point by point ku refute science hiyo, siyo kufuata mkumbo kama unasalishwa sala ya kiarabu au kilatini usichokijua.