Binadamu wa kwanza ni yupi? Wa Olduvai au Adam

Status
Not open for further replies.
It's funny you are talking about 100%. 100% is just an idea, and like infinity, does not exist in the real world. It is like those asymptote graphs we used to draw in O level, they almost touch the line but not really.You can get as close to 100% as much as you like, but cannot attain 100%, the laws of physics took care of that.

There is nothing 100% sure in this world. I take that back, even nothing is not 100% sure, and at the risk of sounding circular, even the assertion "There is nothing 100% sure in this world" is not 100% sure . From DNA paternity tests, to a perfect vacuum, down to your very existence.It's not even like I am trying to flip some Immanuel Kant, Hegel and Karl Popper. Me trying that here. Picture that.

100% is against the known laws of physics, from the speed of light, the second law of thermodynamics down to the uncertainty in the nature of subatomic particles as described by Heisenberg.

You just have to choose your rational comfort level.Below 100%, that is.
Kwa hiyo unataka kunambia 100% haiwezi kupatikana ktk kitu chochote ? Makubwa haya..

Ndo maana hatuelewani humu ndani.
 
Which is all the more reason to see that the bible is mostly full of hogwash. Ukifuata vizazi vy biblia utaona dunia imeumbwa 4004 BC.

You simply cannot spin that.

You take it wrong Kiranga, dunia haijaumbwa miaka 6000 iliyopita, wala vizazi unavyosema ni vile vilivyoandikika na kuwa recorded, akina Adamu walishi miaka mpaka 1000!

Kumbuka kuna Gap theory ambayo wengi huwa hawaifuatilii

Dunia haina umri wa miaka 6000!

Kumbuka aliyendika Genesis ni Musa tena katika ufunuo, na hakuna kilichokosewa in Genesis, ila ni ngumu kueleweka kwani that was not a tale, it was a straight lecture from Heaven!
 
Straight lecture from heaven my foot, straight lecture from heaven haiwezi hata kuipata age of the earth right?

Hebu angalia hiyo "straight lecture from heaven" ilivyojaa contradictions.

http://skepticsannotatedbible.com/gen/contra_list.html
 
Taja kitu unachoweza kupata uhakika/ ukamilifu 100%.

Nimeshaelewa msingi wa tatizo ulipo kama niliposema hapo juu. Nway I'm retiring from this thread. Nimeshaeka hoja ninazodhani zinajitegemea na I rest my case. Sasa kama unataka kuenda kwenye 1+1=1 X or V endelea na wengine wenye muda wa kupoteza.
 
Unashindwa hoja unakimbia kama kawaida, umepewa nafasi kutoa hoja huna kitu cha kusema.
 
Unashindwa hoja unakimbia kama kawaida, umepewa nafasi kutoa hoja huna kitu cha kusema.

Unaleta 'hoja' kuwa hakuna kitu 100%. Sasa unategemea nikujibu nini? Sina muda wa kupoteza kujadili 'hoja' ninao muda wa kujadili HOJA.
 
Unaleta 'hoja' kuwa hakuna kitu 100%. Sasa unategemea nikujibu nini? Sina muda wa kupoteza kujadili 'hoja' ninao muda wa kujadili HOJA.

Sasa mbona una ji contradict? Mara huna muda, lakini hapo hapo umerudi na kujibu. Hoja HOJA, kichekeho, unashindwa hata kuonyesha kwamba sina hoja ya msingi, which should be child's play according to your fiat dismission.

Nimekuuliza onyesha kitu kilicho 100% in the real world, apart from abstracted ideas, umeshindwa kuonyesha.

Sasa nani anayekosa hoja hapo?
 
Hii ni hoja binafsi ambayo leo nataka kutafakari pamoja kati ya vitu hivi viwili vinavyochanganya. Napenda kuzungumzia kitu kinaitwa 'Binadamu wa kwanza'. Wakati vitabu vyetu vya dini vinatuambia kuwa binadamu wa ni Adam na akafatia Eve, lakini sayansi na hasa wale wana historia wanasema binadamu ni matokeo ya Evolution tukitokea kwa wanyama wenye asili ya sokwe na tena kwa kuongeza zaidi ni kuwa binadamu wa kwanza inaaminika kuwa alitokea Tanzania maeneo ya kule Olduvai.

Vitu hivi naamini vinakanganya na ni kila mmoja alishawahi kufikiria lakini hakuweza kuingia ndani zaidi na kujua lipi ni lipi. Tanzania waamini wa dini ni wengi kuliko wasioamini na zote zinaamini katika lile la kwanza lakini bado watu hao wanaitangaza Tanzania kuwa ni sehemu ya kutalii kwani moja ya vivutio vyake ni sehemu ile ambako binadamu wa kwanza anaaminika kuishi. Na sisi sote tumepitia katika masomo haya na tulikuwa tuaamini hivyo na kisha tukafaulu kweli na wewe muumini mzuri ulifurahia sana ulipofaulu somo hili tena ukapata vizuri sana lile swali lililouliza kuwa binadamu wa kwanza aliishi wapi? Je tulifanya makosa?

Naamini nitapata mawazo mbali mbali na changamoto nyingi katika hili pale tu mtakapotoa hofu ya kujiuliza tena hili swali

Amini unachoona kinakabiliana na ukweli kwa mawazo yako vinginevyo wanasayansi watakuchanganya. Miaka zaidi ya elfu sita imepita sasa tangu binaadam awepo dunia lakini sokwe kabaki sokwe, tembo kabaki tembo, mbona hajabadilika? Au baada ya miaka milioni ngapi binaadam wa sasa na viumbe wengine watabalidika? Watakuaje?
 
Miaka "zaidi ya elfu sita" iliyopita ni mingapi?

Una hakika sokwe kabaki sokwe na tembo kabaki tembo?
 
Unafuatilia thread au unapenda kuandika tu?

The entire concept of binadamu, whose etimology is derived from Arabic Ibn-Adam, is fallacious.
Swali langu ujalielewa au unajitia ulioni?

Narudia tena..
.

Binadamu wa kwanza kwa uoni na usomi wako ni yupi?
 
Nothing is ever 100%. Unless watu wanataka kucheza ligi ya kombe la mbuzi

Nina 100% uhakika kuwa hayo maneno niliyosoma hapo yanasomeka "Nothing is ever 100%. Unless watu wanataka kucheza ligi ya kombe la mbuzi" au nimekosea?
 
Straight lecture from heaven my foot, straight lecture from heaven haiwezi hata kuipata age of the earth right?

Hebu angalia hiyo "straight lecture from heaven" ilivyojaa contradictions.

http://skepticsannotatedbible.com/gen/contra_list.html

Mbona nimeona anajiuliza tu na vitu viko wazi kabisa, unataka nikujibu?

Hamna contradiction yeyote iliyopo, ila naona kutokuelewa kwa watu.

Unafikiri Musa aliandika kitabu as a fiction? kumbuka aliandika hiki baada ya kutoka Egypt,

so mapigo kumi, kipindi cha njaa, kugawanyika bahari ya shamu n.k unasema ni fiction? these things are real if you want to know you will know it.

Genesis chapter 1 inaonyesha mwanadamu kuumbwa kiroho
chapter 2 inaonyesha mwanadamu kuumbwa physicaly! That can be confirmed by many verses in the same bible.
 
Miaka "zaidi ya elfu sita" iliyopita ni mingapi?

Una hakika sokwe kabaki sokwe na tembo kabaki tembo?

huwezi kujibu hili Kiranga, let assume from 1000 A.D to date, kuna mnyama gani aliyejitokeza ambaye process ya evilution ilianza kabla, leo hii tukashuhudia!
 
huwezi kujibu hili Kiranga, let assume from 1000 A.D to date, kuna mnyama gani aliyejitokeza ambaye process ya evilution ilianza kabla, leo hii tukashuhudia!

Umeshaisoma case ya moth aliyoisema Darwin katika his seminal works?

Tatizo unataka kuangalia evolutionary process kwa "wanyama" inayotokea katika geological timescale (billions of years) kwa miaka 1000. Ni kama vile unataka ushahidi wa continental rift kwa kukaa pwani uangalie kama continent linasogea, utachekesha. Ni kama vile mtu kakwambia "nywele zangu hizi zinakua" halafu wewe unataka uone zinakua vipi katika sekunde tano kwa kutumia ruler yenye centimeter tu. Of course huwezi kuona continental drift in hours, of course huwezi kuona nywele au kucha zinakua kwa kipimo cha centimeters in a few seconds. Hii ndiyo equivalent na kutaka kuona appreciable evolution in a large scale mammal in a 1,000 years time period.

Huwezi kujua kwamba dunia ni mviringo kwa kupima the curvature of the earth in your average backyard. Lazima utafute an appropriate scale. Ukitaka kuona evolution in action kwa large scale mammals angalia evidence ya billions of years, ukitaka kuona evidence ya continental drift angalia evidence ya billion of years, ukitak kuona kwamba the earth is round panda jengo refu au ndege, ukitaka kuona nywele zinaota ngoja at least days if not weeks.Kwa hiyo use the appropriate scale.

Kama unataka ushahidi wa evolution in action, 1,000 AD mbona unaenda mbali sana? Nenda back in the early 1940's tu, angalia historia ya penicillin na antibiotics, uone jinsi gani penicillin ilivyogunduliwa siku za kwanzailivyokuwa effective katika kuua bacteria. Baadaye baada ya kutumika sana, kutokana na mutations za bacteria, survival of the fittest na adaptation bacteria waliokuwa wamejenga resistance waka survive, most wa waliokosa resistance wakafa.Leo hii dunia ina tatizo kubwa sana la bacteria wenye resistance kwa hizi antibiotics za zamani.Ndiyo maana players wa zamani wakicheza pekupeku na kupata gonorrhea walikuwa wanameza vi tetraciclyne wanapeta, hata bila ya kumuona doctor, siku hizi bacteria walewale si tu wana resist tetraciclyne, bali hata madawa makali zaidi kama kina erythromicyn wanaweza kuya resist. That is evolution in action.

The reason why it is hard to see the evolution of man or elephants is because evolution operates on a generational scale, which means for just one set of genes or mutation to be passed from you to your kid, it has to take at least 16 years, most people it is more than 20. That means on verage in a century that mutation has about five generations to swim.

Bacteria and virus on the other hand can reproduce several generations in an hour, and that means the evolution proces is much faster.

Denmark, kwa kutambua antibiotics kama timebomb, imekataza kuwapa wanyama wake (nguruwe, ng'ombe etc) chakula kinachochanganywa na antibiotics kwa sababu utaratibu huu unachangia kuongeza bacteria's immunity, na kwa kwa binadamu anakula nyama hizi basi haya ma antibiotics wanayopewa wanyama yanatuingia sisi hata kama hatuli dawa, na kufanya matatizo ya magonjwa ya bacteria kuwa hayasikii dawa.

This is just common sense. Unfortunately to some people common sense is not so common.
 
Mkuu, huwezi pata jibu hapo.

Hata mi naona hako ni kamsumali bana atarukaruka tu. Eti wanadai ndege wameevolve toka kwa baadhi ya dinosaurs lakini hawaelezi kwanini kuna tofauti nyingi mno ya hawa ndege je kila aina ilikuwa na dinasaur wake je ni yupi Anchiceratops, Alxasaurus au aina nyingine?
 
Mbona nimeona anajiuliza tu na vitu viko wazi kabisa, unataka nikujibu?

Hamna contradiction yeyote iliyopo, ila naona kutokuelewa kwa watu.

Unafikiri Musa aliandika kitabu as a fiction? kumbuka aliandika hiki baada ya kutoka Egypt,

so mapigo kumi, kipindi cha njaa, kugawanyika bahari ya shamu n.k unasema ni fiction? these things are real if you want to know you will know it.

Genesis chapter 1 inaonyesha mwanadamu kuumbwa kiroho
chapter 2 inaonyesha mwanadamu kuumbwa physicaly! That can be confirmed by many verses in the same bible.

Acha unazi, jibu maswali, kama Genesis ni kitabu cha mungu mbona kuna contradictions hizi?

The two contradictory creation accounts

Genesis 1:25-27
(Humans were created after the other animals.)

And God made the beast of the earth after his kind, and cattle after their kind, and every thing that creepeth upon the earth after his kind: and God saw that it was good. And God said, Let us make man in our image.... So God created man in his own image

Halafu ona inavyojicontradict hapa

Genesis 2:18-19
(Humans were created before the other animals.)

And the LORD God said, It is not good that the man should be alone; I will make him an help meet for him. And out of the ground the LORD God formed every beast of the field, and every fowl of the air; and brought them unto Adam to see what he would call them: and whatsoever Adam called every living creature, that was the name thereof.

How long did it take to create the heavens and the earth?

One day

Gen.2:4
These are the generations of the heavens and of the earth when they were created, in the day that the LORD God made the earth and the heavens.

Ona hapa unapewa story tofauti

Gen.1:3 - 2:3
And God said, Let there be light: and there was light. ... And God called the light Day, and the darkness he called Night. And the evening and the morning were the first day.
...

And God saw every thing that he had made, and, behold, it was very good. And the evening and the morning were the sixth day.

Thus the heavens and the earth were finished, and all the host of them. And on the seventh day God ended his work which he had made; and he rested on the seventh day from all his work which he had made.

Were plants created before or after humans?

Plants were created before humans.

Genesis 1:11-13, 27-31
And God said, Let the earth bring forth grass, the herb yielding seed, and the fruit tree yielding fruit after his kind, whose seed is in itself, upon the earth: and it was so .... And the evening and the morning were the third day.
So God created man in his own image, in the image of God created he him; male and female created he them .... And the evening and the morning were the sixth day.

Contradiction

Plants were created after humans.

Genesis 2:4-7
These are the generations of the heavens and of the earth ... And every plant of the field before it was in the earth, and every herb of the field before it grew: for the LORD God had not caused it to rain upon the earth, and there was not a man to till the ground. But there went up a mist from the earth, and watered the whole face of the ground. And the LORD God formed man of the dust of the ground.

It goes on and on like that. I mean If I was an omnipotent omniscient being inspiring Moses to write my story (even if I was not whispering to Moses, just inspiring him) would'nt you think I would inspire some more consistency in there?

All I see is some uninspired ancient Jewish mythology.If this is the best god can do then he needs somecoaching, maybe I can be god's god in the literary criticism department.
 
Status
Not open for further replies.
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom