macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Mambo ya mtandaoni, haya ya kuhusu ''mafanikio'' ya wabongo usiyachukulie serious. Unaweza kudhani ni wewe pekee umebaki maskini Tanzania kumbe una nafuu.Kama chief godlove anatafuta faraja kwa nguvu kwa kuposti gari la mtu lenye thamani ya million 28 nakudanganya ni shilingi million 800.
🤣🤣🤣 Cc: diamond platinumWanakushika bega huku wananuia.
😁😁Hii ni kwel hasa ndugu au jamaa akiwa mnyakyusa
Jamaa 😁😁Kama chief godlove anatafuta faraja, attention na sifa za kijinga kwa nguvu kwa kuposti gari la mtu akidanganya ni lake lenye thamani ya million 28 nakudanganya ni shilingi million 800.
View attachment 3584854
adriz de mbusii
Shida wabongo tuko tunajianza kwenye mambo ya mitandao hivyo kila mtu anajaribu kuwa mshauri kwa magumu yanayomkuta ,tunashau kuwa maisha hayana formulaHako kajamaa kanapesa chafu na kana shinda mitandaoni kakionyesha maisha yake , unakuta yupo kwenye yachi yake ya kifahari na totozi tatu tatu halafu zote ni Drop dead gorgeous😅
Kama upo X utakua unamuona Saidi Lugumi akijipostWenye maendeleo hawapost, ukiona mtu anayepost post kila siku jua huyo ni mchovu.
Yes... hata wapigaji waliopata fedha hiyo ndoyo hulka yao. NB: siyo kwamba hakuna wenye mafanikio ambao wanajipost ila siyo tabia ya wengi.Kama upo X utakua unamuona Saidi Lugumi akijipost
Floyd Mayweather nae mchovu 😀😀😀Hako kajamaa kanapesa chafu na kana shinda mitandaoni kakionyesha maisha yake , unakuta yupo kwenye yachi yake ya kifahari na totozi tatu tatu halafu zote ni Drop dead gorgeous😅
Tatizo watu wabishi sana.Kama hauna ulazima wa kujipost status usifanye ivyo .
Ficha Maendeleo yako ,Tabasamu lako linawaumiza watu wengi.
Watangazie shida tu usioneshe mafanikio hadharani Dunia imebadilika
Orderly Coplo Wa week 😎.
Muweke na Saidi LugumiMchovu akiwa kwenye ndege yake binafsi
View attachment 3584848
Kwa mfano umepost hivyo vitu kuna hatari gani? Mimi binafsi mtandao niliopo ni JF tu.Tatizo watu wabishi sana.
Bora upost Meme ,Comedy ,Miziki etc ila Mambo ya Brand New 0 Km ,Mara On Site New Project , At Office ,Cruising ,On Vacation Copacabana ni hatari.
Labda useme wanaojipost wana tabia hii au ile. Matajiri wengi duniani wanajipost.Yes... hata wapigaji waliopata fedha hiyo ndoyo hulka yao. NB: siyo kwamba hakuna wenye mafanikio ambao wanajipost ila siyo tabia ya wengi.
Wnajipost kwa lengo gani? Hili ndilo jambo la msingi. Hawa mafukara wenzetu wanajitapa na siyo kuonyesha maisha yao. Pride invites impossible tests.Labda useme wanaojipost wana tabia hii au ile. Matajiri wengi duniani wanajipost.
Fake it till you make it.Mambo ya mtandaoni, haya ya kuhusu ''mafanikio'' ya wabongo usiyachukulie serious. Unaweza kudhani ni wewe pekee umebaki maskini Tanzania kumbe una nafuu.
Mfano Chief God love anajipost ili aonekane ana maendeleo,awapate wale wanaotaka kujiunga jicho la tatu,Wnajipost kwa lengo gani? Hili ndilo jambo la msingi. Hawa mafukara wenzetu wanajitapa na siyo kuonyesha maisha yao. Pride invites impossible tests.
Wanapost kuonesha mafanikio yao. You either get angry or motivated.Wnajipost kwa lengo gani? Hili ndilo jambo la msingi. Hawa mafukara wenzetu wanajitapa na siyo kuonyesha maisha yao. Pride invites impossible tests.
I dont get angry or motivated because my happiness or goals are not controlled by other people.Wanapost kuonesha mafanikio yao. You either get angry or motivated.
Great.I dont get angry or motivated because my happiness or goals are not controlled by other people.