Bei rahisi Electronicks
Senior Member
- Nov 24, 2025
- 167
- 392
Wenye maendeleo hawapost, ukiona mtu anayepost post kila siku jua huyo ni mchovu.Kama hauna ulazima wa kujipost status usifanye ivyo .
Ficha Maendeleo yako ,Tabasamu lako linawaumiza watu wengi.
Watangazie shida tu usioneshe mafanikio hadharani Dunia imebadilika
Orderly Coplo Wa week 😎.
Unaona watu wanavyouanaWatafanya nini ? Jazia nyama pandiko lako.
🙏Hakika
Wanakushika bega huku wananuia.Watafanya nini ? Jazia nyama pandiko lako.
Kwel mkuuWenye maendeleo hawapost, ukiona mtu anayepost post kila siku jua huyo ni mchovu.
Jibu toshaWanakushika bega huku wananuia.
Mchovu akiwa kwenye ndege yake binafsiWenye maendeleo hawapost, ukiona mtu anayepost post kila siku jua huyo ni mchovu.
Haha 😂Mchovu akiwa kwenye ndege yake binafsi
View attachment 3584848
Kwa hiyo inafaa kutoa taarifa za uongouongo kwa wananzengo ili usalama utamalaki, sivyo?Wenye maendeleo hawapost, ukiona mtu anayepost post kila siku jua huyo ni mchovu.
Daktari hili jibu natamani nilifananishe na sindano ile walitoiiita chloroquine ilivyokuwa ikiingia kwenye sehemu husika utamu unausikilizia mpaka kwenye kisogoMchovu akiwa kwenye ndege yake binafsi
View attachment 3584848
Hii vita utaiwezq kaka ?Hii ni kwel hasa ndugu au jamaa akiwa mnyakyusa
Kama chief godlove anatafuta faraja, attention na sifa za kijinga kwa nguvu kwa kuposti gari la mtu akidanganya ni lake lenye thamani ya million 28 nakudanganya ni shilingi million 800.Wenye maendeleo hawapost, ukiona mtu anayepost post kila siku jua huyo ni mchovu.
Kabis mkuuHii ni kwel hasa ndugu au jamaa akiwa mnyakyusa
Hako kajamaa kanapesa chafu na kana shinda mitandaoni kakionyesha maisha yake , unakuta yupo kwenye yachi yake ya kifahari na totozi tatu tatu halafu zote ni Drop dead gorgeous😅Daktari hili jibu natamani nilifananishe na sindano ile walitoiiita chloroquine ilivyokuwa ikiingia kwenye sehemu husika utamu unausikilizia mpaka kwenye kisogo