Mademoiselle
JF-Expert Member
- Jul 11, 2022
- 722
- 2,915
Pole sana ndugu yangu... machoni kama watu....Kazini hasa watanzania tuna roho mbaya sana mimi yalinikuta makubwa zaidi yako mkuu sema kwasababu walikuwepo wafanyakazi kutoka nje ya nchi wakaokoa jahazi japo walikuja kutafuta mbinu nyingine wakatimiza adhima yao.
Wewe nawe ujinga huo.....Kuajiriwa ni laana kubwa wazazi wangu hawakuipitia laana hiyo na siwezi ipitia na wanangu hawawezi ipitia. Namuomba sana Mungu wangu.
Ogopa sana kitu azulumiwe mtu ndio ww upate, unafanya kazi kwa kumtegemea mtu ni laana kama laana zingine.
Umeona sasa tunatukanwa Imani yetu kwa sababu yako.....Matusi ya nini sasa mkuu?
M umeona nimekashifu dini ya mtu
Mbona lililopo kwenye mada husika hujaliongelea?
Short sighted...Hahaha ni kweli ila anakula nchi sio ajira za kuliwa na nchi jua kutofautisha mkuu
Maisha ya kota ni ya hovyo sana mkuu....acha tu....Pambana uhame, Kota wanga wengi....wanafuatilia kila nyayo, Yani wanahesabu hadi unaoga mara ngapi....maisha ya kikuda mno, Hama.
Ila wakati unajipanga kuhama, Kaya mazoea ya baada ya Kazi, mkitoka ofisini nifanye hamjuani na yoyote....itakusaidia.
Hivi hii ni imekaa vipi, siku ya pili leo nimenuniwa kila nikiona nilipo kosea sipaoni.Vifupi vina gubu 24/7 [emoji1787]
Mkuu punguzeni makasirikoHaiwezekani mtu sili kwako, hunipi msaada wowote, sina ukaribu wowote na wewe hizi chuki, fitina, figisu zinatoka wapi? Uwepo wangu kazini wewe unapungukiwa nini?
Tuheshimiane jinsia ya kike kazini upuuzi tupu. Mwenye masikio na asikie sitaki mazoea
Mkuu mnaongea Kwa uchungu sanaaJinsia ya kike kwa kazini honestly ni jipu...japo mie pia wa kike 😃
Sijajua ni damu yangu ya kunguni ama nini lakini maisha yangu ya tangu high school,chuo hata kazini jinsia ya kike ndio imekuwa tatizo zaidi kwangu
Sijui hata nawakosea nini manake kiuhalisia i don't talk much wala sina mazoea sana in real life
☺️😊Hivi hii ni imekaa vipi, siku ya pili leo nimenuniwa kila nikiona nilipo kosea sipaoni.
Saiv nagundua kumbe shida ufupi
Hivi hii ni imekaa vipi, siku ya pili leo nimenuniwa kila nikiona nilipo kosea sipaoni.
Saiv nagundua kumbe shida ufupi
Mkuu mnaongea Kwa uchungu sanaa
Wazee wa inferiority complex [emoji1787][emoji1787]Hivi hii ni imekaa vipi, siku ya pili leo nimenuniwa kila nikiona nilipo kosea sipaoni.
Saiv nagundua kumbe shida ufupi
Mm nikiwa sehemu lazima nitengeneze niwe mtu wa muhimu Ili nisipo kuepo gepu lionekane......What if muhusika yupo karibu na boss? Inabidi utulie tu mkuu unatafuta ustaarabu mwingine.
Utani haswa ila kuna kaukweli hivi....all and all binadamu sisi mtihani sana unaweza kuchukiwa tu kwa wajihi na umbile lako.....ukiwa shabby tatizo...ukiwa mtanashati unaringa..Muulize sababu ya kununiwa
Ufupi ni utani tu
[emoji7]Mm nikiwa sehemu lazima nitengeneze niwe mtu wa muhimu Ili nisipo kuepo gepu lionekane......
NB:
Hata iwe vipi kwenye haya ma kazi kwanza Dunia tunapita tutayaacha na
Everyone can be replaced
Sio mara ya kwanza nisha solve kessy za kununiwa 3times sasa naona nimeshindwa ngoja tuendeles kukaa hv mpaka kieleweke shida ni ufupi au nnMuulize sababu ya kununiwa
Ufupi ni utani tu
Sio kila biashara inahitaji wafanya kaziWewe nawe ujinga huo.....
Kwa kuwa unaungaunga kibiashara?![emoji44]
Siku ikiwa kubwa haitohitaji wafanyakazi ?!!!!
Hata mama Samia amejiriwa....