Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,107
- 173,898
Yeah drivetrain ya landrover iko juu kumshinda mjapani na ndio maana landrover wanasemaga 4 wheel yake haina mpinzani! Hata cruiser haikutii zikiwa kwenye tope zito!Aisee hizi namba kuna wakati kwenye performance ni tofauti..
Hizo LandRover Defenders ni ngumu sana kuzivuta kwenye tug of war..!
Nahisi kama uliyosema drivetrain yake ipo tofauti..!
Sasa kwenye tug of wars tairi zinavyolock ndio utaipenda yani! Inakamua torque yote haiterezi