mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 95,921
- 136,895
Siyo mtoto, hiyo ni Mjukuu.Kumbe walianza zamani utajiri aisee,huyo ni mtoto alikuwa na miaka 101..
Kweli wajenzi huru hao jamaa!
Chuo kikuu cha DAR ES SALAAM alikisaidia sana .Wewe ulishawahi kisaidia nini? Watu kwa maelfu wana graduate pale chuo kikuu cha dar es salaamikiwa ni matunda ya misaada yake.Huu ni msiba pia wa chuo kikuu cha dar es salaamAmkeni Watanzania!!!!!!!! Rockfeller alikuwa Mshetani Mkubwa, Kizazi chake chote ni ya Kishetani! Akina Rockfeller na Rothschild ndio ni ma Papa Wakonge Duniani ambao wamesababisha matatizo za vita and nk! Angalieni kwenye Youtube kuna documentaries kibao kuhusu huyu Ibilisi!
Ni mjukuu wa John D Rockefeller tajiri mkubwa wa mafuta huko American kwa miaka ya nyuma.Wakuu Tupeni histolia yake kwa ufupi
Magu Anao mmoja tu na una matundu.....mkumbusheni kuwa kifo kipo hakuna haja ya Visasi.Kubadilisha mioyo kote huko kulikua ni kukimbia kifo lakin cha ajabu kifo hakikimbiliki, now ameenda...
P.K.A
PUMZIKA KWA AMANI
Nani alikuwa anatembelea nyota yake mkuu, picha yako haionekaniJamaaa ukisoma hisstory yaO.
Ni miongoni mwaa koo au family zzilizo na rank kubwa katik secret societ....
[HASHTAG]#jay[/HASHTAG] z aalikuwa anatembelea baraka za huyu mtu....
Naona masons wataakuwa na ibada za maombolezo
Kila nafsi itaonja mautiKwani huyu mtu wetu kuna siku atakufa kweli? Maana ana kiburi na karaha sana kama hatokufa
P .M .PKubadilisha mioyo kote huko kulikua ni kukimbia kifo lakin cha ajabu kifo hakikimbiliki, now ameenda...
P.K.A
PUMZIKA KWA AMANI
Sasa hivi amebakia Rothchilds kila mia yako unayoweka 80 ni yake kwenye mfumo wa kibenki wa duniaSiku yako ikifika imefika tu,haijalishi tajiri au masikini.
Sote ni waja na kwake Allah tutarejea.
Sasa hivi amebakia RotchSiku yako ikifika imefika tu,haijalishi tajiri au masikini.
Sote ni waja na kwake Allah tutarejea.