Lavan Island
JF-Expert Member
- Oct 24, 2015
- 2,378
- 2,057
Shetani limeondoka hatimae but limeacha mizizi
Siku yako ikifika imefika tu,haijalishi tajiri au masikini.
Sote ni waja na kwake Allah tutarejea.
Sawa sawa mkuuuu....Blaza andika vizuri basi...
Mbona unakosea kosea hivo!!
Wazee wa kuzibambikia nchi madeni ya dunia,huyo ndio mwisho wa matatizo,hakunaga tajiri kama huyo
Jamaaa ukisoma hisstory yaO.
Ni miongoni mwaa koo au family zzilizo na rank kubwa katik secret societ....
[HASHTAG]#jay[/HASHTAG] z aalikuwa anatembelea baraka za huyu mtu....
Naona masons wataakuwa na ibada za maombolezo
Mwisho wa mwanadam mautiBilionea David Rockefeller afariki dunia uko nyumbani kwake Pocantico Hills, N.Y. akiwa usingizini.
Rockefeller amefariki dunia akiwa na miaka 101, chanzo cha kifo ni moyo kushindwa kusambaza damu
kwa ghafla.
Rockefeller anashikia rekodi ya kubadilisha moyo mara 7.
[HASHTAG]#RIPDavidRockefeller[/HASHTAG]
![]()
![]()
![]()
Moja kati ya watu walioshiriki kuharibu dunia.....alazwe anapostahili
Natamani na yule mtetezi wa ujinga apite hivi usiku huu. Kesho iwe ni siku ya shamrashamra Tanzania.
Kwani huyu mtu wetu kuna siku atakufa kweli? Maana ana kiburi na karaha sana kama hatokufa
Moyo wa mwisho ukagoma kusafirisha damuKubadilisha mioyo kote huko kulikua ni kukimbia kifo lakin cha ajabu kifo hakikimbiliki, now ameenda...
P.K.A
PUMZIKA KWA AMANI
Ni mpumbavu pekee huweza kuwaza haya.Natamani na yule mtetezi wa ujinga apite hivi usiku huu. Kesho iwe ni siku ya shamrashamra Tanzania.