Billionea aliokuwa na mioyo 7 David Rockefeller afariki dunia

Billionea aliokuwa na mioyo 7 David Rockefeller afariki dunia

I liked the family so much! Wazee wa kufanya impossibles kuwa possibles.

R. I. P
 
Siku yako ikifika imefika tu,haijalishi tajiri au masikini.
Sote ni waja na kwake Allah tutarejea.
Daah!! Kumbe wewe ni ostadhat tuungeleta mahari sema mtaalamu wa mastori kashakuwahi.
 
Huyu alishakufa zamani alikuwa anaishi Kama double tu
 
Bilionea David Rockefeller afariki dunia uko nyumbani kwake Pocantico Hills, N.Y. akiwa usingizini.

Rockefeller amefariki dunia akiwa na miaka 101, chanzo cha kifo ni moyo kushindwa kusambaza damu
kwa ghafla.

Rockefeller anashikia rekodi ya kubadilisha moyo mara 7.

[HASHTAG]#RIPDavidRockefeller[/HASHTAG]
efaffb919c08e102594d676abfb3d6db.jpg


5aba2961caec5118e6c73ea072bd3254.jpg

680e57cac12740b3d0bc7d47415de94e.jpg
Nasikia kauliwa na Puttin😀
 
Bila shaka uliyeleta uzi huu utakuwa mwandishi wa habari...ushaona wapi mtu ana mioyo saba
 
Amkeni Watanzania!!!!!!!! Rockfeller alikuwa Mshetani Mkubwa, Kizazi chake chote ni ya Kishetani! Akina Rockfeller na Rothschild ndio ni ma Papa Wakonge Duniani ambao wamesababisha matatizo za vita and nk! Angalieni kwenye Youtube kuna documentaries kibao kuhusu huyu Ibilisi!
sizani kama mungu alimpa miaka 101 ya kuwa shetani na wewe miaka 45 ya kuwa malaika ndugu hawa watu wana mchango wao mkubwa sana wa kimaendeleo katika dunia ya leo hata mungu analitanbua ilo
 
Huyu ni mjukuu wa bilioni wa kwanza marekani,John Rockefeller.John Rockefeller utajiri wake ulitokana na kanuni za kibiblia za kutajirika,Kama utoaji Dhaka kwa uaminifu na sadaka!
 
Back
Top Bottom