Billionea aliokuwa na mioyo 7 David Rockefeller afariki dunia

Billionea aliokuwa na mioyo 7 David Rockefeller afariki dunia

kedrick

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2015
Posts
5,320
Reaction score
5,390
Bilionea David Rockefeller afariki dunia uko nyumbani kwake Pocantico Hills, N.Y. akiwa usingizini.

Rockefeller amefariki dunia akiwa na miaka 101, chanzo cha kifo ni moyo kushindwa kusambaza damu
kwa ghafla.

Rockefeller anashikia rekodi ya kubadilisha moyo mara 7.

[HASHTAG]#RIPDavidRockefeller[/HASHTAG]
efaffb919c08e102594d676abfb3d6db.jpg


5aba2961caec5118e6c73ea072bd3254.jpg

680e57cac12740b3d0bc7d47415de94e.jpg
 
Alibadili Mioyo mara Saba??
Aliipata wapi?

Kifo bhana! Pamoja na kukikwepa kwa kubadili Mioyo lakn haijawa njia sahihi ya kukimbia. Kimemkuta hata bila dalili ya kubadili moyo

Nitajiri mkubwa Marekani aliachiwa mahela na baba yake. Sasa akawa anauwezo wa kufanyiwa hizo operation kubadili viungo vyake vinavyo shindwa kufanya kazi kwa ufanisi. Lakini pesa yote duniani haiwezikuweza kumuweka hai mwishowe mwili ukichoka
 
DON MOEN
"When It's All Been Said And Done"

When it's all been said and done
There is just one thing that matters
Did I do my best to live for truth?
Did I live my life for you?

When it's all been said and done
All my treasures will mean nothing
Only what I've done for love's reward
Will stand the test of time

Lord, your mercy is so great
That you look beyond our weakness
And find purest gold in miry clay
Turning sinners into saints.
Hallelujah

And I will always sing your praise
Here on earth and ever after
For you've shown me heavens, my true home
When it's all been said and done
You're my life when life is gone...
 
Back
Top Bottom