Naren
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 691
- 429
ah nimeipenda hii comment inamaana mbili.Times up fella
ah nimeipenda hii comment inamaana mbili.Times up fella
Lakini nyie maskini ikiwahitaji kubadili moyo mtakufa hapohapo hamtasubiria mara 7.Alibadili Mioyo mara Saba??
Aliipata wapi?
Kifo bhana! Pamoja na kukikwepa kwa kubadili Mioyo lakn haijawa njia sahihi ya kukimbia. Kimemkuta hata bila dalili ya kubadili moyo
Kubadilisha mioyo kote huko kulikua ni kukimbia kifo lakin cha ajabu kifo hakikimbiliki, now ameenda...
P.K.A
PUMZIKA KWA AMANI
Masikini mnajua namna ya kujifarijiSiku yako ikifika imefika tu,haijalishi tajiri au masikini.
Sote ni waja na kwake Allah tutarejea.
Na akifa atakuwa malaika mkuu.Kwani huyu mtu wetu kuna siku atakufa kweli? Maana ana kiburi na karaha sana kama hatokufa
, mkuu 101 sio habaNitajiri mkubwa Marekani aliachiwa mahela na baba yake. Sasa akawa anauwezo wa kufanyiwa hizo operation kubadili viungo vyake vinavyo shindwa kufanya kazi kwa ufanisi. Lakini pesa yote duniani haiwezikuweza kumuweka hai mwishowe mwili ukichoka
Bila shaka pesa iliongeaDuuh aliipatia wapi hio mioyo?
Kwa miaka 101 si.habaAlibadili Mioyo mara Saba??
Aliipata wapi?
Kifo bhana! Pamoja na kukikwepa kwa kubadili Mioyo lakn haijawa njia sahihi ya kukimbia. Kimemkuta hata bila dalili ya kubadili moyo
Kuna nabii alishaona soon kuna moyo wa betri utafeliWengine mioyo yao inasukumwa kwa betri lakini ni wajeuri utadhani ni miungu wa huu ulimwengu.
Kwani huyu mtu wetu kuna siku atakufa kweli? Maana ana kiburi na karaha sana kama hatokufa
Na akifa atakuwa malaika mkuu.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] hebu agiza soda kwa mangi bill kwangu.Hapo hakunaga ujanja hata pombe anayejiona Mungu mtu kwa sasa siku Itafika atanyamazishwa
Du umeshindwa hata kugoogle ndugu mbona easy Tu!Wakuu Tupeni histolia yake kwa ufupi