Billionea aliokuwa na mioyo 7 David Rockefeller afariki dunia

Billionea aliokuwa na mioyo 7 David Rockefeller afariki dunia

Alikuwa mjukuu wa John Davison Rockerfeller Sr ambaye ni tajiri namba moja wa muda wote Marekani. John D Rockefeller Sr amefariki siku nyingi ila hadi kufikia leo utajiri wake ni $392 bilion.


David Rockefeller ni mtoto wa John D Rockefeller JR aliyekuwa mwana wa John D Rockerfeller SR. Utajiri alionao chanzo ni babu yake huyo.

Alazwe mahala pema, hiyo ndiyo njia yetu sote hakuna tajiri wala masikini. Sote tunaipita
 
Utafiti unaonyeshs watu wenye pesa pamoja na viongozi wakubwa dunianihuishi miaka mingi sana-wengi hufikisha miaka 80 na kuendelea
Tanzania huku kwetu kama huna hela kuiona tu 40 umependelewa sana
 
alibadili mioyo 7 kwa hiyo watu 7 walikufa ili tu apate moyo mana hizo moyo alizipataje kama siyo watu walikufa????? lakini dawa moto ni moto hzi watu wanasahau kufa ni lazima na wala siyo ombi ni lazima
 
Heeee!!!..kumbe hata hawa vinara wa u-freemason na u-illuminat hapa duniani nao hufa?!!...kweli mungu sio daudi bashite.hajaribiwi kama sizonje.
 
Duh wazungu sijui wanachomeleaje mishipa ya moyo wakati wa kuunganisha huo moyo
 
Bilionea Mmarekani anayefahamika pia kwa kutoa pesa za hisani kuwasaidia wasiojiweza David Rockefeller amefariki dunia akiwa usingizini nyumbani kwake Poncantico Hills, New York hapo jana tarehe 20/03/2017.

Rockefeller died in his sleep from congestive heart failure on March 20, 2017 at the age of 101 at his home in Pocantico Hills, New York.


Alikuwa na umri wa miaka 101.

Bw Rockefeller alikuwa wa mwisho wa kizazi chake cha familia hiyo maarufu nchini Marekani.

Alikuwa mjukuu wa mwanzilishi wa kampuni ya Standard Oil John D Rockefeller.

Mzee huyo ndiye aliyekuwa anasimamia mali na biashara za familia hiyo, pamoja na miradi yake ya kusaidia jamii.


Ingawa hakuwahi kutafuta wadhifa wowote wa kisiasa, kaka zake wawili walihudumu serikali.

Nelson Rockefeller alihudumu kama gavana wa New York na kwa muda kama Makamu wa Rais wa Marekani.

Winthrop Rockefeller naye alikuwa gavana wa Arkansas.

Rais wa zamani wa marekani Bw.George Bush amesema amehuzunishwa sana na kumpoteza rafiki yake mpendwa.

David Rockefeller alihitimu kutoka chuo kikuu cha Harvard mwaka 1936 na akapokea shahada ya uzamifu katika uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Chicago mwaka 1940.

Alitumikia jeshi wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia na baadaye akafanya kazi katika benki ya Chase Bank, ambayo baadaye ilikuwa benki ya JP Morgan Chase.

Bw Rockefeller alimiliki kazi za sanaa za thamani ya $500m (£404m).

Alipokuwa anasherehekea kutimiza miaka 100 mwaka 2015, alitoa ardhi ya ekari 1,000 kwa mbuga ya taifa katika jimbo la Maine.

Juhudi zake za kusaidia jamii zilimfanya kutunukiwa Nishani ya Uhuru ya Rais mwaka 1998.

Alikuwa na watoto wanne - David Jr, Richard, Abby, Neva, Margaret na Eileen.

Mkewe Margaret (jina lake la kuzaliwa McGrath) alifariki 1996.
 
Watamchoma moto wazike majivu au nae watamtupa bahari ya kina kirefu kama Osama?!
 
R.I.P ROCKERFELLER

TANZANIA HAPA TUNA MATAJIRI UCHWARA TU

OVA
 
Back
Top Bottom