Mkuu Matola nimefanya biashara na NEWL muda mrefu nawajua wafanyakazi wake wengi hata hichi nilichoandika ni kwasababu ya huo uhusiano baada ya malipo yangu kukwama kwasababu ya kukosa saini ya mkurugenzi.Nimezungumza na wataalamu wake kuanzia procurement na Accountant wake.
Au upelelezi bado haujakamilika?Dah rupia!
Hoshea vipi kaka ! Unakosoa mahaba na wewe unasimamia mahaba ! Nilitegemea ungelisifia jeshi la polisi na walio peleka taarifa polisi kwa kuThubutu au ndio unataka kutuaminisha ni amri toka juu ndio ilio fanya hao wafanya biashara wakamatwe !Wewe hujui kitu, na wewe ni party affiliated, huyu jamaa ana elerai na ina wafanyakazi wengi tu na ndio company yake ya kwanza, umepewa story na watu wa NEWL pekee unakuja kuconclude, na ukae ukijua hakuna uonevu anafanyiwa. Elerai ndio imefanya ukwepaji mkubwa sana wa kodi, na mambo mengine kama kumtorosha huyo mwarabu, mengine hayapaswi andikwa humu, nenda pale tra arusha ulizia kodi anadaiwa through elerai and since when. Watu tunaomjua huyu raia nje ndani tunasema ilikuwa ni siku yake ya 40 tu. Bila kusahau kudra za mwenyezi Mungu kutupatia Magufuli sababu hakuna mwingine angemgusa na ndio tungekuwa tunazidi tengeneza mabomu ya inequality nchi hii. Kwa iyo wewe buda nasikitika kukutaarifu udhanivyo sivyo na punguza mahaba, Magufuli anatenda haki, kama ulifanya mambo yako sawa sawa hakuna tatizo kama ulikuwa na makando kando hata wewe ujiandae hima.
Hoshea vipi kaka ! Unakosoa mahaba na wewe unasimamia mahaba ! Nilitegemea ungelisifia jeshi la polisi na walio peleka taarifa polisi kwa kuThubutu au ndio unataka kutuaminisha ni amri toka juu ndio ilio fanya hao wafanya biashara wakamatwe !
Duhh, ama kweli jela hakuna mwenyewe!
naona wanataka kuua kampuni zake ili wasukuma waendeleze zao maana ukanda wa Mwanza zimeshafungwa wakachukua tender wasukumaHivi hii makitu haina mrejesho? Mbona kimyaaa?
Hivi hii makitu haina mrejesho? Mbona kimyaaa?
Wewe si mzalendo, wewe una wivu wa maendeleo na watu wa kanda ya kaskazini.
Kijana pambana kupeleka maendeleo kwenu, acha wivu.
Mbona unahukumu kabla ya kesi yenyewe haijaanza kusikilizwa?
Sasa ivi tender kalbia nyingi serikali inajipa yenyewe kupitia wakala wa majengo usishangae kuja kuckia kampuni za wazawa za construction kufilisika we c umeona wizara zinazohama kuja Dodoma wanasafirishwa na maroli ya jeshi badala ya kugawa tender kwa kampuni binafsi za usafirishaji ili wawasafirishe yeye anawapa wajeda kwa style hii tutaona kampuni nyingi sana zikifa.Kwa hali ya nchi yetu ilivyo hakuna mkandarasi yoyote anaeweza pewa tender yoyote bila kutoa chochote
Bilioni mbili ndogo?Halafu ni mchagga huyo eeh?Nasikia wamemfunga miaka miwili Mzee wa watu kisa billion mbili aisee
kama umeanzisha kampuni kutegemea kusafirisha ma file ya serikali ,basi utakuwa una akili ndogo sana.Tena afadhali siku hizi,zamani kabla hujazaliwa serikali ilikuwa na kampuni ya usafiri kila mkoa,mabasi na malori,wote hao wangepanda MORETCO au CORETCO.Sasa ivi tender kalbia nyingi serikali inajipa yenyewe kupitia wakala wa majengo usishangae kuja kuckia kampuni za wazawa za construction kufilisika we c umeona wizara zinazohama kuja Dodoma wanasafirishwa na maroli ya jeshi badala ya kugawa tender kwa kampuni binafsi za usafirishaji ili wawasafirishe yeye anawapa wajeda kwa style hii tutaona kampuni nyingi sana zikifa.
Hapo mnabishana tu wote nyie ni wazizabar ukiangalia mipakaWewe huna unalolijuwa, kama hujui kitu uliza uelimishwe, kabla ya jina la Dar huu mkoa ulikuwa ni sehemu ya Pwani ikiitwa Mzizima na hata kimipaka Gongo la mboto ilikuwa upande wa Kisarawe.
Wewe hujui kitu na siyo kazi yangu hapa kuandika historia ila wapo Wazaramo ambao kwao kiasili kabisa ni Kinyerezi na gongo la mboto Dar.
Ditopile Mzuzuri nyumbani kwao kabisa ni kinyerezi, kilwa road yote ndani ya mkoa wa pwani ni ya wamatumbi na wandengereko.
kama umeanzisha kampuni kutegemea kusafirisha ma file ya serikali ,basi utakuwa una akili ndogo sana.Tena afadhali siku hizi,zamani kabla hujazaliwa serikali ilikuwa na kampuni ya usafiri kila mkoa,mabasi na malori,wote hao wangepanda MORETCO au CORETCO.