Melinda kumbe kifaa hivi! Hata body imekaza sana! Wacha nijitose twitter huko nika slide DM!Bill & Melinda Gates
miaka 27 ya ndoa
mbona wamevumilia mengi sana
Leo nini hicho kikubwa kimewashinda?
wana watoto watatu wakubwa!
sasa Bill si atatakiwa wagawane mali hivyo Bill si atazidi kushuka chini kutoka namba 4 aliyopo?
Mnaoishi Marekani mbona ndoa nyingi za huko zina changamoto sana?
Alianza Jeff wa Amazon
Leo ni Bill Gates!!!
basi hata Jayz ni swala la muda tu na yeye!
Huku Africa tunasema mapenzi ya kweli hayapo kisa umasikini
Je hata hao ambao ni mabilionea sasa shida nini?
Mapenzi sio Pesa!!
Kuna kitu hapo ila sema tu hatujakigundua!
View attachment 1772585
Bill Clinton ni mwanaume mshenzi sana Yaani hicho chumba chake cha mapenzi huko island decoration ni kitu na blue dress .Mnakumbuka blue dress alivaa Monica Lewinsky
Maison ni wapi brazaYou're overthinking. Kuzoeana, kuchokana, kushindwana kupo tu ikifika hiyo hatua dawa ni kuachana tu kwa amani ya Bwana. We nenda Maison Saturday night uone kama hutowaza mara mbili kuhusu mahusiano yako kuna pisi zamoto braza.
Maskini huamini pesa ndio kila kitu sababu ya njaa njaa tu! Ila kimsingi furaha ndio ina play part kubwa katika kustawisha au kuua penzi🤓Ama kweli pesa sio kila kitu,
Makapuku hua hawaamini hili kabisa.
😎
Anapoteaje sasa ndio anaenda kupika covid -21 ili awamalizie hasira walimwengu😂😂😂Dah! Bill Gates atapotea kwa stress
Anapoteaje sasa ndio anaenda kupika covid -21 ili awamalizie hasira walimwengu[emoji23][emoji23][emoji23]
You just wait & see 😂😂😂 tumeisha!!![emoji23][emoji23][emoji3516][emoji3516]
You just wait & see [emoji23][emoji23][emoji23] tumeisha!!!
Mbona haya mambo ni rahisi kuliko kumezewa kila jamboWeka chanzo cha habari kwanza tujionee
wamekuwa wakisaidia miradi mbalimbali ya kijamii duniani kupitia foundation yao
Bill gates alikuwa na mapenzi na watoto wadogo .Jeffrey Epstein case is getting worse .List ni kubwa Bill Clinton ,trump ,prince Andrew na prince of Saudi nakadhalika
Kwa hiyo imekwisha!Bill gates alikuwa na mapenzi na watoto wadogo .Jeffrey Epstein case is getting worse .List ni kubwa Bill Clinton ,trump ,prince Andrew na prince of Saudi nakadhalika
[emoji28][emoji28][emoji28]Anapoteaje sasa ndio anaenda kupika covid -21 ili awamalizie hasira walimwengu[emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseee kumridhisha mwanamke kazi
KaachwaBill kapata totoz nyingine nini?