Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,503
kwa taarifa tu,wamerekani nao wako na hazina kubwa tu ya gesi,wala hawaitaji kuja kuchukua gas ya hapa.gas yetu itatumika kuzalisha nishati,na kwa matumizi mengine ya nyumbani.Rais mstaafu wa marekani billy clinton yuko mchini kukagua miradi inayofadhiliwa na plan international,pia kuzungumza na akina mama vikoba,ndgu zangu watanzania wenzangu kunani hapa tanzania mbona kuanzia gesi igundulike marais kibao wa nchi mbali mbali wanakuja tanzania,tujiulize kama watanzania tumeshauzwa au lah!mwenye majibu naomba tusaidie kujua.
Aluta continua.