Nchi yangu Tanzania;nchi ya maziwa na asali, wanakuja kwa wingi, wote wakubwa wa dunia, kulikoni Tanzania?
Wamegundua udhaifu wenu uko kwa watawala wenu na huko ndiko wanakopitia kulinyonya Taifa lenu!!!
Nchi yangu Tanzania;nchi ya maziwa na asali, wanakuja kwa wingi, wote wakubwa wa dunia, kulikoni Tanzania?
Kaja kukagua miradi yake...
Period....
Huyu ni msimamizi wa miradi gani hapa Tz, na hiyo miradi mwananchi wa kawaida ananufaika vipi, hivi mataifa ya kigeni yanazamia Tz kwani nchi yetu in vito vya manemane, yakuti samawi, na zabarajadi?
kaka yangu naona na wewe umeanza ukorofi lol!!xi jinping, obama, bush, clinton, na tony blair wote wameitembelea tanzania kwa kipindi kifupi tuu kilichopita.
Kiudaku, kagame lazima ahusike hapo. Tunafuatwa fuatwa kwa sababu, recently we're become more attractive and sexy than them.
Niambie ni nchi gani duniani imetembelewa na watu hao wote ndani ya miezi sita tuu? Kagame lazima ahusike hapo. Lol.
kwa taarifa tu,wamerekani nao wako na hazina kubwa tu ya gesi,wala hawaitaji kuja kuchukua gas ya hapa.gas yetu itatumika kuzalisha nishati,na kwa matumizi mengine ya nyumbani.
Harafu pamoja na ukarimu wetu na ugeni wao hata kunyonyesha watoto wetu hatujui, achia mbali elimu ya bora liende, siasa za hovyo, mpira hatujui, yaani shida tu. ....bin short ugeni wao hautusaidii tutaikomboa Tz yetu na hayo yote sisi wenyewe...
.....taarifa hizi zinawajia kwa HISANI/KODI YA/ZA WATU WA MAREKANI?....lini nasi tutawafadhili wengineo