Bilioni 550 ndiyo msaada wa EU kwenye bajeti ya Tanzania kwa mwaka!

Investment kutoka Eoropean Union to Tanzania kwa mwaka ni US1BIL to US2BIL, hiyo inaitwa DFI. Direct Finance Investment ni sawa na SH 5T

Canada ni US700M sawa na SH 1.7T

US ni US1.5BIL

Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T

sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo mnaingiza arrogance politics

Tuna bahati mbaya sana, Tanzania will go no where without DONORS

View attachment 1632218
Hizo figure za kutengeneza tunazipiga chini mwaka huu.Msaada wa pedi,condom na sindano za uzazi
 
US ni US1.5BIL

Tanzania GDP NI US58BIL ni sawa na SH 1.3T

sasa mnaringa nini hapa lazima mpige magoti!!!sio kila jambo mnaingiza arrogance politics

Tuna bahati mbaya sana, Tanzania will go no where without DONORS

View attachment 1632218
Sijajua nini hasa lengo la uzi wako maana kichwa cha habari ni msaada lakini ndani unazungumzia uwekezaji. Tuanze na hili la uwekezaji, uwekezaji sio msaada walio wekeza hapa Tanzania nifaida wanataka., tena wawekezaji wengine ni wanyonyaji wazuri ona sekta kama ya madini wanachukua kingi sisi tunapata kidogo. Pili uwo msaada wa b mia tano tukiwa na waziri mzuri wa mambo ya nje, tukiwekeza vizuri kwenye sekita ya utalii, tunaweza kuvuna mara kumi au kumi na tano ya hizo pesa tunazopewa kama msaada.
 
Tanzania ni nchi tajiri kwa maneno lakini kwa uhalisia hata kichokonolea meno tunaagiza toka China, tukipigwa vikwazo kidogo tu ni lazima tutafutane kwa kurunzi

Yangu macho na masikio ya awamu hii yanakwenda kujirudia ya matunda ya ujaa wa Nyerere
Hakika mkuu,umenena.
 
ccm wanajua miaka 60 ya uhuru wameitumia kuzalisha wajinga na wagonjwa wa akili ambao hawawezi kutafakari wala kuchambua mambo hivyo hata wakisema mavi ni ugali bado wafuasi wao watawashangilia.

ccm haitaki watu wenye kuelewa na kuchambua mambo kama hivi, eti hatutaki misaada, hadi unacheka.

Bila misaada muhimbili na hospitali zetu zitajaa marehemu, wataalamu wote wa afya nchi wanapata mafunzo kwa vitendo kupitia misaada, serikali haiwezi kuwaendeleza bila misaada.

Nenda pale Muhimbili utakuta madaktari wote wakitaka kusoma postgraduate lazima waombe scholarships za wazungu au wapewe, serikali ya wanyonge haina hela.

Bila misaada tafiti zote kuanzia ya nbs(najua mnajua kuhusu takwimu na benki ya Dunia), vyuo vikuu na kila mahala zitakufa kifo cha mende mzee.

Barabara za lami Dar zinajengwa mitaani kwa hisani ya benki ya Dunia. Bajeti Trilioni 34, makusanyo Trilioni 14, hizo 20 zinatoka wapi?

Ccm hata wakipewa miaka 800 hakuna kitu watatufanyia.
Wenye akili tu ndo tumekuelewa.Wale wajinga a.k.a matutusa watakuja kukubeza.
 
EU wametoa hoja zao ambazo ni ....
I. Kukosekana demokrasia kwenye uchaguzi mkuu,
2. Polisi kuhujumu uchaguzi,
3. Kupokea pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona.

Lakini tujiulize je madai ya EU ni ya uongo?
1. Je vyombo vya dola havikutumika kuvuruga uchaguzi?
2. Je, watu hawakukamatwa?
3. Je, hakuna walioripotiwa kuuawa?
4. Je hatukuchukua pesa za corona? Kwanza kuchukua pesa za Corona wakati tulisema hatuna Corona ni utapeli. Serikali imejipatia pesa kwa njia za udanganyifu. Hii ni jinai, na ni uhujumu uchumi.

"Tunarahisi wa Ajabu haijawahi kutokea"
TUNDU LISSU.
Naunga mkono hoja
 
Hiyo misahada kwani ilikuja bila kuombwa? Una akili za kitoto
Kwani Somalia kinachowashinda kuomba ni nini kwa mfano? We unaamini Somalia huwa hawaombi misaada ya kimataifa? Unafikiri hawaombi??!!! Sasa kwanini wanafanya ubaguzi wa kutupa sisi mapesa yooote hayo halafu Somalia wanaachw? Umewahi kufikiria hilo? Au ndio tuseme kichwa chako hakina kabisa uwezo wa kutafakari jambo obvious kama hilo? Tell me!
 
nyinyi wapuuzi sikilizeni.

kama mnadhani hawa jamaa wanaleta misaada kwa huruma basi elimu zenu ni hizi za mpango wa ccm.

hawa jamaa wanafanya biashara,kwahiyo msitegemee wasitishe biashara sehemu wanayokula,jiwe,na kabudi wanajua kinachowapa jeuri mpaka kuwajibu hivyo.

subirini kama kuna chochote kitatokea.
 
Nyuma ya Pazia hawa watu wanaomba msamaha huko...

Acha kuamini kelele zao

hizi ndio kauli zenu kwa ajiri ya backups.
hakuna mtu anayeomba msamaha.unadhani kabuni alikuwa ajibu vile kuwaudhi mabosi ili amkomoe nani???
 
Back
Top Bottom