DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,580
- 10,274
Hahahaha 😆 Abiola ghwa nyoko
Hahahaha 😆 Abiola ghwa nyoko
Mahelu agoHahahahaAbiola ghwa nyoko

Labda fainali ya kulaNa ss leo tunaitaka finali.
Msimu wenu walijaa viande...
Sasa unapinga nini wewe zuzu..
Huyo hana kazi ni mzururaji...na kusubiria vi elfu 5 vya hamasa vya muuza magodoro.Kumbe ndio maana
Vipi bila Yanga kucheza fainali ya kombe Muungano.Utopolo wanafanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa yanayofanyika viwanja vya Gombani Pemba
Kumbe mnamfaham vizuriHuyo hana kazi ni mzururaji...na kusubiria vi elfu 5 vya hamasa vya muuza magodoro.
Aaah saanaaaKumbe mnamfaham vizuri
Ebu fuatilia vzrMsimu wenu walijaa viande...
Kwanza kwanza picha linaanza na wale wasudani maskini wakaja na bus wako hoii hata hotel ya kufikia hawana...
Mkawakuta Marumo ipo dhaifu hali ikashuka na daraja...
Mkaja mkawakuta wale waaarabu CRB nao wamepotea kwny ramani hata mshindano haya hawapo...
Mkaja mkawakuta fainali wale waarabu wenu wakawatoa kamasi ila wangekutana na moto wa mnyama wangeungua...
In short sfar yenu ilikua kama mnateleza mabwani kwenu pale jangwani...
Vipi bila Yanga kucheza fainali ya kombe Muungano.
Simba angefika huko fainali ya kombe la Muungano?
Kwa vile huu uzi haujaanzishwa na JK na Mzee Manara. Sina shaka na akili ya mleta uziView attachment 3320318

mbu Mbu mbu Hata kombe la muungano Simba asingefika fainali, Yanga pia msingefika fainali.Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...
Pamoja na kuwa mchambuzi maarufu hapa jamii forum pia mwanachama wa Simba ....ila nakubali kuwa Yanga walituchongea njia ya kwenda final......hivyo tumejifunza mengi Kwa Yanga mfano
1. Kukaza ugenini....Simba always ilikuwa mbovu ugenini....lakini Baada ya Yanga ku prove inawezekana kukaza ugenini.... it's became a foundation to Simba to gain confidence
All in all..... Asanteni Yanga Kwa kuchonga njia...japo tunajua kombe hatubebi mbele ya waarabu...tutaishia mlipoishiaView attachment 3318438
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu...kule ushindani mkubwaHata kombe la muungano Simba asingefika fainali, Yanga pia msingefika fainali.
Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...