Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 22,854
- 32,657
- Thread starter
- #161
Acha wendawazimu wewe simba usiwe mnalinganisha na vitu vya ajabuBado Yanga ime play part kubwa ....as a real rollmodel
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yanga ilikuwa ya kwanza kufika finalAcha wendawazimu wewe simba usiwe mnalinganisha na vitu vya ajabu
Yanga hamna mipango nyie mmechukuwa makombe ya ligi mengi lakini kimataifa hamna jipya nyie
Tuliona tuanze utawala wa nyumban kwanzaYanga hamna mipango nyie mmechukuwa makombe ya ligi mengi lakini kimataifa hamna jipya nyie
Role modelBado Yanga ime play part kubwa ....as a real rollmodel
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yaaah mkuu....Role model