Acha ujinga wewe Chura, mbona Utopolo hamkufika fainali baada ya 1993 Simba ilipofika fainali kwa mara ya kwanza.Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...
Pamoja na kuwa mchambuzi maarufu hapa jamii forum pia mwanachama wa Simba ....ila nakubali kuwa Yanga walituchongea njia ya kwenda final......hivyo tumejifunza mengi Kwa Yanga mfano
1. Kukaza ugenini....Simba always ilikuwa mbovu ugenini....lakini Baada ya Yanga ku prove inawezekana kukaza ugenini.... it's became a foundation to Simba to gain confidence
All in all..... Asanteni Yanga Kwa kuchonga njia...japo tunajua kombe hatubebi mbele ya waarabu...tutaishia mlipoishiaView attachment 3318438
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Mnadhalilika sana...mnakosea sana kujifananisha na Simba...Ahsante Yanga kwa kuonyesha mwanga wa Taifaaa ...
Pamoja na kuwa mchambuzi maarufu hapa jamii forum pia mwanachama wa Simba ....ila nakubali kuwa Yanga walituchongea njia ya kwenda final......hivyo tumejifunza mengi Kwa Yanga mfano
1. Kukaza ugenini....Simba always ilikuwa mbovu ugenini....lakini Baada ya Yanga ku prove inawezekana kukaza ugenini.... it's became a foundation to Simba to gain confidence
All in all..... Asanteni Yanga Kwa kuchonga njia...japo tunajua kombe hatubebi mbele ya waarabu...tutaishia mlipoishiaView attachment 3318438
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Simba tayari walikuwa na ambition hiyo ndo maana waliumia sana walipotolewa robo fainali na Pirates, TP mazembe, kaiza chiefs, Al Ahly pamoja na Widad athletic.Ukifikiria kidg...utaelewa... in short Yanga umetoa motivation Kwa simba
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hiyo ilikuwa ni bonanza la abiola cup....ngoja nitaleta chapiso lake soonWatoto wa 2000 hamjui kuwa Simba ni timu ya kwanza Tanzania kucheza fainali mashindano ya CAF.Hawa hapa CAF wenyewe kwenye website yao rasmi wanawaumbua
Yanga japo sijaifuatilia kitambo .....but Iko vzr Hadi muungano cupUtopolo wanafanya vizuri kwenye mashindano ya kimataifa yanayofanyika viwanja vya Gombani Pemba
Hiyo ni abiola cup mkuu...unachanganya mamboAcha ujinga wewe Chura, mbona Utopolo hamkufika fainali baada ya 1993 Simba ilipofika fainali kwa mara ya kwanza.
Simba ilifika fainali Caf Cup 1993 na kufungwa na Stella Abdijan kwa jumla ya magoli 2-0 uwanja wa Taifa au Uhuru kwa sasa mbele ya mgeni rasmi Ali Hassan Mwinyi akiwa rais wa Tanzania wakati huo. Alikabidhi kombe kwa Stella na medali kwa Simba.
Wengi wakidanganywa na viongozi wao wa Utopolo kwamba lilikuwa kombe la Mashud Abiola wanakubali bila kujua Abiola alikuwa mfadhili kama alivyo leo Total Energies. Yakaitwa mashindano ya cafcc Total energies au kwa ligi yetu kuitwa NBC au Uingereza na Carrabao.
Acheni ujinga nyie utopolo
View attachment 3318495View attachment 3318500View attachment 3318503
Fake page hyo mkuuMnadhalilika sana...mnakosea sana kujifananisha na Simba...
Labani og ww mapinduzi cup njoo hukuWatoto wa 2000 hamjui kuwa Simba ni timu ya kwanza Tanzania kucheza fainali mashindano ya CAF.Hawa hapa CAF wenyewe kwenye website yao rasmi wanawaumbua
SawaHiyo ni abiola cup mkuu...unachanganya mambo View attachment 3318536
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hujui Kiingereza kijana, kuhusu first ever wanamaanisha CAFCC, wakati wa kipindi cha English wewe ulikuwa unaweka vioo chini ya sketi za wadada ukiwachungulia!Fake page hyo mkuu
Soma hyoView attachment 3318538
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hujui Kiingereza kijana, kuhusu first ever wanamaanisha CAFCC, wakati wa kipindi cha English wewe ulikuwa unaweka vioo chini ya sketi za wadada ukiwachunguliaFake page hyo mkuu
Soma hyoView attachment 3318538
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Leta chapisho kutoka website rasmi ya CAF,sio la wenzako na Mwalimu Yanga ambao mnalingana akili.Hili nililoweka ni kutoka website rasmi ya CAF, najua lugha haipandi ila tafuta mtafsiriHiyo ilikuwa ni bonanza la abiola cup....ngoja nitaleta chapiso lake soon
Sent from my TECNO KG5j using Jamiiforum s mobile app
Kombe, ticket na medali vyote vimeandikwa kombe la CAF,onesha walipoandika Abiola Cup.Nyie vijana Manara amewaharibu sana
HawajuiWatoto wa 2000 hamjui kuwa Simba ni timu ya kwanza Tanzania kucheza fainali mashindano ya CAF.Hawa hapa CAF wenyewe kwenye website yao rasmi wanawaumbua
Kwanini mkuuNakushauri unywe paracetamol mtani ila usizidishe sana utaumwa tena.
Ndo matatizo ya kusoma kayumba ....ungesoma international kama mm usingepatashida neno first ever ( Kwa mara ya kwanza ....au huko nyuma Haijawahi tokea)Hujui Kiingereza kijana, kuhusu first ever wanamaanisha CAFCC, wakati wa kipindi cha English wewe ulikuwa unaweka vioo chini ya sketi za wadada ukiwachungulia!

Zamani kombe lilikuwa Moja na ni Hilo tu .....Kombe, ticket na medali vyote vimeandikwa kombe la CAF,onesha walipoandika Abiola Cup.Nyie vijana Manara amewaharibu sana