PostGE2025 Bila ya kutegemea dola CCM haiwezi kushinda uchaguzi

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hawa NYUMBU wa Chadema huwa nawaambia CCM haipo kwa security agency Ila Akili kubwa

Hata boss wako unayemfanyia Kazi ujue kakuzidi akili ndo maana anakutumikisha simple mathematics
We ndo huna akili kbs, sasa ccm wanatumia akili au wanatumia dola (mabavu)?!.
Ingekuwa inatumia akili bila mabavu samuya ungekuta leo yeye sio rais wa Tz...mbinu zao za kijinga (akili??) kusalia madarakani zimeshabainika kwa sasa ni mabavu tuu ya yanawaweka mjn ambayo nayo tutayapatia ufumbuzi ili hatimaye twende sawa!!.
Ningekuelewa iwapo ungesema jeshi letu la polisi wote hawana akili maana wanatumika kuwaweka madarakani watu wachache (cccm) wanakula keki ya taifa huku lenyewe likibaki na maisha duni!.
 
Ukiona MTU anakutawala au anakutumikisha ujue kakuzidi akili
 
Hawa NYUMBU wa Chadema huwa nawaambia CCM haipo kwa security agency Ila Akili kubwa

Hata boss wako unayemfanyia Kazi ujue kakuzidi akili ndo maana anakutumikisha simple mathematics
Kama wizi kura kwa kutumia polisi ni akili tusingekuwa na tatizo la maji baada ya miaka 60 ya "akili"
 
Back
Top Bottom