Bila waraka wa serikali wananchi wataendelea kupata shida TRA

Wee acha tuu, uchungu wa ile gari sijui utaniisha lini! Kuna wakati huyo Peter nikamwambia kwa kunizungusha huku hamuoni mnaitia serikali hasara? Maana gari inaoza hapo ilipo, ningelipa nilicho nacho nikachukua gari ingiingizia mapato kwa njia nyingi pia akajibu kuwa SERIKALI HUWA HAIPATI HASARA, sanasana nikishindwa kulipa wataligawa kwenye taasisi zenye uhitaji
Dahhh
 
Hii nchi ina uozo na uonevu mkubwa. Kuna kina Hamza wengi sana wanaotengenezwa na hii nchi sababu ya uonevu.

Kuna jamaa aliagizia matractor matatu ambayo yalikuja disassembled kwenye makontena na ali declare kama tractor na kila ithibati.
Mzigo ulipoingia jamaa wa TRA wakakomaa kuwa jamaa kaingiza kontena za spare hivyo anapaswa alipie ushuru wa spear.
Jamaa alipeleka mpaka mafundi wake waziunde hizo tractor jamaa wakagoma.
Baada ya miaka kama 3 ya kuvutana wakamwambia achukue mzigo wake lakini alipe storage charges ambazo zilikuwa milioni kadhaa pamoja na 40% ya ushuru wa spare pamoja na backdated penalties. Kwa kifupi haikuwa inalipa kwa upande wa mshkaji.

Zilikuja kuuzwa kama scrapper katika mnada wa TRA kwa mil. 4.8 na alienunua ni yule yule jamaa wa kwanza aliefanya inspection. Hili tulikuja kulijua baada ya kumpigia mwenye mali simu kumuomba amuunganishe na mafundi wake. Jamaa alimwambia sina fundi wa kuunda spare.
Duh
 
Mwaka 2014 October gari yangu ilikamatwa na vijana wa Majembe pale Mtaa wa Rufiji Kariakoo kwa Tuhuma ya kuingizwa nchi bila utaratibu.. Wale vijana wakaniambia wanataka milion tatu waniachie

Nikawagomea kwakuwa kesi yangu tayari nilikuwa nimeshairipoti TRA.. Lakini kuepusha usumbufu nikataka kuwapa laki tano wakagoma nikapanda dau mpaka milion MOJA wakagoma kabisa wanataka 3M

Kiongozi wao anaitwa Charles naambiwa alishakufa akasema .. Wewe fanya maskhara gari utaipoteza hii.. Na ikawa hivyo[emoji24]
Tulienda mpaka TRA makao makuu .. Nikakutana na ofisa wa investigation anaitwa Peter nikajieleza lakini akaniambia twende yard kwanza pale W9.. Tukaenda W9 nikaipaki gari hapo na kupewa kikaratasi kimeandikwa SEIZURE NOTE! nikaambiwa nikitunze vizuri maana hicho ndio mbadala wa gari

Niliipambania gari yangu kwa miaka 8 kwa maumivu na gharama kubwa na kila aina ya ushahidi lakini uamuzi wa TRA ni kwamba mimi nilikuwa na makosa hivyo nilipe jumla ya milion 12 kodi na adhabu

Mwaka jana ukatoka waraka wa kusamehewa penalty lakini nilipe kodi tu nitoe gari
Kufika kwa maofisa nikaambiwa kodi sio million sita tena bali wanapiga kws viwango vya sasa! Mmh tukavutana sana hatimaye nikawashinda lakini ikaja ishu ya storage, kuja kupiga hesabu nadaiwa milion 27 ukijumlisha na ile milion 6 inakuja jumla milion 33.. Gari iliishia kupigwa mnada kwa milion 6[emoji24]
Ulishindwa kumloga MTU kama huyo ?
 
Wee acha tuu, uchungu wa ile gari sijui utaniisha lini! Kuna wakati huyo Peter nikamwambia kwa kunizungusha huku hamuoni mnaitia serikali hasara? Maana gari inaoza hapo ilipo, ningelipa nilicho nacho nikachukua gari ingiingizia mapato kwa njia nyingi pia akajibu kuwa SERIKALI HUWA HAIPATI HASARA, sanasana nikishindwa kulipa wataligawa kwenye taasisi zenye uhitaji
Kuwa na mganga wa uhakika ,mtumishi yeyote atakaye kusumbua unamloga tu,, no time ya kupoteza.
 
Mwaka 2014 October gari yangu ilikamatwa na vijana wa Majembe pale Mtaa wa Rufiji Kariakoo kwa Tuhuma ya kuingizwa nchi bila utaratibu.. Wale vijana wakaniambia wanataka milion tatu waniachie

Nikawagomea kwakuwa kesi yangu tayari nilikuwa nimeshairipoti TRA.. Lakini kuepusha usumbufu nikataka kuwapa laki tano wakagoma nikapanda dau mpaka milion MOJA wakagoma kabisa wanataka 3M

Kiongozi wao anaitwa Charles naambiwa alishakufa akasema .. Wewe fanya maskhara gari utaipoteza hii.. Na ikawa hivyo[emoji24]
Tulienda mpaka TRA makao makuu .. Nikakutana na ofisa wa investigation anaitwa Peter nikajieleza lakini akaniambia twende yard kwanza pale W9.. Tukaenda W9 nikaipaki gari hapo na kupewa kikaratasi kimeandikwa SEIZURE NOTE! nikaambiwa nikitunze vizuri maana hicho ndio mbadala wa gari

Niliipambania gari yangu kwa miaka 8 kwa maumivu na gharama kubwa na kila aina ya ushahidi lakini uamuzi wa TRA ni kwamba mimi nilikuwa na makosa hivyo nilipe jumla ya milion 12 kodi na adhabu

Mwaka jana ukatoka waraka wa kusamehewa penalty lakini nilipe kodi tu nitoe gari
Kufika kwa maofisa nikaambiwa kodi sio million sita tena bali wanapiga kws viwango vya sasa! Mmh tukavutana sana hatimaye nikawashinda lakini ikaja ishu ya storage, kuja kupiga hesabu nadaiwa milion 27 ukijumlisha na ile milion 6 inakuja jumla milion 33.. Gari iliishia kupigwa mnada kwa milion 6[emoji24]
Huu ndio upumbavu wa wasimamizi. Mmiliki halali anakomolewa na wajinga wasio na uwezo wa kufikiri.
 
Kuna watu Wana mioyo mepesi sana
Kma ni Mimi tungezika wengi kaka..na uhakika na ninachokisema
 
Nilisubiri njia za kawaida zishindikane
Sawa wameshauza kwa mnada , mloge jamaa awe kipofu ,mpatie na Kansa ya mguu ,Mkewe hapo atamuacha ,asipo muacha loga waachane , kama ana watoto waloge wafe pia ,kama wazaz wake wapo waloge pia miguu ivimbe washindwe kutembea wawe ni watu wa ndani tu,, kama ana wadogo zake waloge wasimsaidie chochote pia ateseke tu.
 
[emoji3]kuna vingine sio vya kuandika
 
Waziri wa Biashara, Ashatu Kijaji amewajibu wafanyabishara wa Kariakoo kuwa kilichotokea ni sehemu ya hatua za kimaendeleo na kwamba biashara sio Vita.

Kupitia ukurasa wake wa Instragram Waziri Kijaji ameandika hayo leo

ashatukijaji
 
Hii nchi ina uozo na uonevu mkubwa. Kuna kina Hamza wengi sana wanaotengenezwa na hii nchi sababu ya uonevu.

Kuna jamaa aliagizia matractor matatu ambayo yalikuja disassembled kwenye makontena na ali declare kama tractor na kila ithibati.
Mzigo ulipoingia jamaa wa TRA wakakomaa kuwa jamaa kaingiza kontena za spare hivyo anapaswa alipie ushuru wa spear.
Jamaa alipeleka mpaka mafundi wake waziunde hizo tractor jamaa wakagoma.
Baada ya miaka kama 3 ya kuvutana wakamwambia achukue mzigo wake lakini alipe storage charges ambazo zilikuwa milioni kadhaa pamoja na 40% ya ushuru wa spare pamoja na backdated penalties. Kwa kifupi haikuwa inalipa kwa upande wa mshkaji.

Zilikuja kuuzwa kama scrapper katika mnada wa TRA kwa mil. 4.8 na alienunua ni yule yule jamaa wa kwanza aliefanya inspection. Hili tulikuja kulijua baada ya kumpigia mwenye mali simu kumuomba amuunganishe na mafundi wake. Jamaa alimwambia sina fundi wa kuunda spare.
Haki Nani watu mna miyo halafu asiuwawe na hizi hasira zangu za kikurya walai naenda kuozea jera???

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kikao bado hakijaisha? Mrejesho je?....updates plz mwnye kujua?
 
Back
Top Bottom