Bila waraka wa serikali wananchi wataendelea kupata shida TRA

Mwaka 2014 October gari yangu ilikamatwa na vijana wa Majembe pale Mtaa wa Rufiji Kariakoo kwa Tuhuma ya kuingizwa nchi bila utaratibu.. Wale vijana wakaniambia wanataka milion tatu waniachie

Nikawagomea kwakuwa kesi yangu tayari nilikuwa nimeshairipoti TRA.. Lakini kuepusha usumbufu nikataka kuwapa laki tano wakagoma nikapanda dau mpaka milion MOJA wakagoma kabisa wanataka 3M

Kiongozi wao anaitwa Charles naambiwa alishakufa akasema .. Wewe fanya maskhara gari utaipoteza hii.. Na ikawa hivyo[emoji24]
Tulienda mpaka TRA makao makuu .. Nikakutana na ofisa wa investigation anaitwa Peter nikajieleza lakini akaniambia twende yard kwanza pale W9.. Tukaenda W9 nikaipaki gari hapo na kupewa kikaratasi kimeandikwa SEIZURE NOTE! nikaambiwa nikitunze vizuri maana hicho ndio mbadala wa gari

Niliipambania gari yangu kwa miaka 8 kwa maumivu na gharama kubwa na kila aina ya ushahidi lakini uamuzi wa TRA ni kwamba mimi nilikuwa na makosa hivyo nilipe jumla ya milion 12 kodi na adhabu

Mwaka jana ukatoka waraka wa kusamehewa penalty lakini nilipe kodi tu nitoe gari
Kufika kwa maofisa nikaambiwa kodi sio million sita tena bali wanapiga kws viwango vya sasa! Mmh tukavutana sana hatimaye nikawashinda lakini ikaja ishu ya storage, kuja kupiga hesabu nadaiwa milion 27 ukijumlisha na ile milion 6 inakuja jumla milion 33.. Gari iliishia kupigwa mnada kwa milion 6[emoji24]
Hii nchi ina uozo na uonevu mkubwa. Kuna kina Hamza wengi sana wanaotengenezwa na hii nchi sababu ya uonevu.

Kuna jamaa aliagizia matractor matatu ambayo yalikuja disassembled kwenye kontena na ali declare kama tractor na kila ithibati.
Mzigo ulipoingia jamaa wa TRA wakakomaa kuwa jamaa kaingiza kontena ya spare hivyo anapaswa alipie ushuru wa spear.
Jamaa alipeleka mpaka mafundi wake waziunde hizo tractor jamaa wakagoma.
Baada ya miaka kama 3 ya kuvutana wakamwambia achukue mzigo wake lakini alipe storage charges ambazo zilikuwa milioni kadhaa pamoja na 40% ya ushuru wa spare pamoja na backdated penalties. Kwa kifupi haikuwa inalipa kwa upande wa mshkaji.

Zilikuja kuuzwa kama scrapper katika mnada wa TRA kwa mil. 4.8 na alienunua ni yule yule jamaa wa kwanza aliefanya inspection. Hili tulikuja kulijua baada ya kumpigia mwenye mali simu kumuomba amuunganishe na mafundi wake. Jamaa alimwambia sina fundi wa kuunda spare.
 
Kikao cha wafanyabiashara wa Kariakoo , wawakilishi mikoani na waziri mkuu kimeibua uozo na mengine mazito na magumu wanayopotia wafanyabiashara wa Tanzania.. Kikao kimeisha salama kwa kukubalika kwa hoja karibia zote zilizoibuliwa na wafanyabiashara.. Furaha imetamalaki wazi kwenye nyuso zao.. Lakini...

1. Wasiwaamini sana wanasiasa akiwemo waziri mkuu.. Wanasiasa wana maneno matamu mno yenye suluhu ya muda mfupi
2. Mamlaka ya mapato inafanya kazi kwa mujibu wa sheria na miongozo ya serikali kupitia waraka kwenye kila jambo.. Hivyo mteja anapobishiwa na ofisa mapato, afisa huyo analindwa na hiyo sheria bila kujali uzuri ama ubaya wake

Kamati iliyoundwa ihakikishe mapendekezo yote na maamuzi mapya yatakayotolewa yanarasimishwa na kutolewa kama waraka wa serikali kwenye gazeti la serikali.. Hii itasaidia pande zote mbili

Mikwara ya waziri mkuu itasaidia kwa muda tuu.. Litakapokuja kutokea tatizo kubwa mamlaka ya mapato itasimamia sheria na mwananchi atakosa haki kwakuwa hana chochote cha kuthibitisha
Ndugu yangu Mshana Jr umesema kweli. Pengine tunaweza kwenda mbali zaidi na kusema hata utoke waraka bila kubadilisha mfumo wetu wa uongozi hakutakuwa na mabadiliko yoyote. Tukubali, tukatae, ni kuwa mfumo wetu unafanya watu wazembe ndiyo wawe viongozi na wakishaingia pale inakuwa vigumu kuwafanya chochote.
 
Kuna mdau kazungumzia hapo juu kwamba tatizo linaanzia mbali zaidi! Bungeni kunakotungwa sheria! Hao watunga sheria wenyewe ni mbumbumbu wa mengi
 
Hii nchi ina uozo na uonevu mkubwa. Kuna kina Hamza wengi sana wanaotengenezwa na hii nchi sababu ya uonevu.

Kuna jamaa aliagizia matractor matatu ambayo yalikuja disassembled kwenye makontena na ali declare kama tractor na kila ithibati.
Mzigo ulipoingia jamaa wa TRA wakakomaa kuwa jamaa kaingiza kontena za spare hivyo anapaswa alipie ushuru wa spear.
Jamaa alipeleka mpaka mafundi wake waziunde hizo tractor jamaa wakagoma.
Baada ya miaka kama 3 wakamwambia achukue mzigo wake lakini alipe storage charges ambazo zilikuwa milioni kadhaa pamoja na 40% ya ushuru wa spare pamoja na backdated penalties. Kwa kifupi haikuwa inalipa kwa upande wa mshkaji.

Zilikuja kuuzwa kama scrapper katika mnada wa TRA kwa mil. 4.8 na alienunua ni yule yule jamaa wa kwanza aliefanya inspection. Hili tulikuja kulijua baada ya kumpigia mwenye mali simu kumuomba amuunganishe na mafundi wake. Jamaa alimwambia sina fundi wa kuunda spare.
Zilikuja kuuzwa kama scrapper katika mnada wa TRA kwa mil. 4.8 na alienunua ni yule yule jamaa wa kwanza aliefanya inspection.[emoji848][emoji3064][emoji35][emoji35][emoji35]
 
Kuna mdau kazungumzia hapo juu kwamba tatizo linaanzia mbali zaidi! Bungeni kunakotungwa sheria! Hao watunga sheria wenyewe ni mbumbumbu wa mengi
Tatizo halianzii hapo, linarudi kwetu wenyewe wtz ambao ndo tunawachagua. We kweli kwa watu wa kawe wanaenda kumchagua mcheza pono ndo akawawakilishe?
 
Uchaguzi uliopita haukuwa uchaguzi ulikuwa uchafuzi
 
iliishia kupigwa mnada kwa milion
Pole bro, nadhani hii wangekuuzia wewe mwenyewe. Binafsi napambana usiku na mchana kizazi changu nikihamishe afrika , umasikini Ni kitu kibaya mno yaani Ni zaidi ya ukimwi,aids,cancer, masikini ana maumivu makali unapopata,yaani rc ama dc anaumia kuzidiwa hela na tajiri wa mkoa anaouongoza anaona Ana haki ya kutetemekiwa na kumtoa hela za bure kisa tu kiongozi.
Africans jamani Kuna laana sio bure kabisa.
Yaani silali mchana na usiku napigana kufa na kupona ili tu nihame afrika. Unalipa Kodi jamaa anaenda kuhonga gari la 480M Kodi ya watu, huku zahanati hazina dawa watu wanafariki njiani kisa Hakuna ambulance or orad mbaya,madawati hakuna ama hakuna walimu wa masomo ya sayansi.

Hebu waza Kuna shule iko Kijiji mwanza hapa inaitwa fumagila Ina mwalimu mmoja wa maths, fizikia na shule Ina wtt zaidi ya 2000++ Ni olevo kwa ajili ya ujinga wa waafrika waliokabidhiwa kuongoza wenzao. Kuna Yule mangungo alihongwa na pia Kuna yule mangi meli alishirikiana na German kumpiga mangi Sina wa kibosho. Hii Ni akili ama matope yaani really real I hate this assholes countries. Umasikini Ni kitu kibaya mno pambana ukiondoe.
 
Mwaka 2014 October gari yangu ilikamatwa na vijana wa Majembe pale Mtaa wa Rufiji Kariakoo kwa Tuhuma ya kuingizwa nchi bila utaratibu.. Wale vijana wakaniambia wanataka milion tatu waniachie

Nikawagomea kwakuwa kesi yangu tayari nilikuwa nimeshairipoti TRA.. Lakini kuepusha usumbufu nikataka kuwapa laki tano wakagoma nikapanda dau mpaka milion MOJA wakagoma kabisa wanataka 3M

Kiongozi wao anaitwa Charles naambiwa alishakufa akasema .. Wewe fanya maskhara gari utaipoteza hii.. Na ikawa hivyo[emoji24]
Tulienda mpaka TRA makao makuu .. Nikakutana na ofisa wa investigation anaitwa Peter nikajieleza lakini akaniambia twende yard kwanza pale W9.. Tukaenda W9 nikaipaki gari hapo na kupewa kikaratasi kimeandikwa SEIZURE NOTE! nikaambiwa nikitunze vizuri maana hicho ndio mbadala wa gari

Niliipambania gari yangu kwa miaka 8 kwa maumivu na gharama kubwa na kila aina ya ushahidi lakini uamuzi wa TRA ni kwamba mimi nilikuwa na makosa hivyo nilipe jumla ya milion 12 kodi na adhabu

Mwaka jana ukatoka waraka wa kusamehewa penalty lakini nilipe kodi tu nitoe gari
Kufika kwa maofisa nikaambiwa kodi sio million sita tena bali wanapiga kws viwango vya sasa! Mmh tukavutana sana hatimaye nikawashinda lakini ikaja ishu ya storage, kuja kupiga hesabu nadaiwa milion 27 ukijumlisha na ile milion 6 inakuja jumla milion 33.. Gari iliishia kupigwa mnada kwa milion 6[emoji24]
So sad!
 
Pole bro, nadhani hii wangekuuzia wewe mwenyewe. Binafsi napambana usiku na mchana kizazi changu nikihamishe afrika , umasikini Ni kitu kibaya mno yaani Ni zaidi ya ukimwi,aids,cancer, masikini ana maumivu makali unapopata,yaani rc ama dc anaumia kuzidiwa hela na tajiri wa mkoa anaouongoza anaona Ana haki ya kutetemekiwa na kumtoa hela za bure kisa tu kiongozi.
Africans jamani Kuna laana sio bure kabisa.
Yaani silali mchana na usiku napigana kufa na kupona ili tu nihame afrika. Unalipa Kodi jamaa anaenda kuhonga gari la 480M Kodi ya watu, huku zahanati hazina dawa watu wanafariki njiani kisa Hakuna ambulance or orad mbaya,madawati hakuna ama hakuna walimu wa masomo ya sayansi.

Hebu waza Kuna shule iko Kijiji mwanza hapa inaitwa fumagila Ina mwalimu mmoja wa maths, fizikia na shule Ina wtt zaidi ya 2000++ Ni olevo kwa ajili ya ujinga wa waafrika waliokabidhiwa kuongoza wenzao. Kuna Yule mangungo alihongwa na pia Kuna yule mangi meli alishirikiana na German kumpiga mangi Sina wa kibosho. Hii Ni akili ama matope yaani really real I hate this assholes countries. Umasikini Ni kitu kibaya mno pambana ukiondoe.
Kuna laana tumetupiwa sio bure! Lilipoingizwa kwenye mnada nikafanyiwa fitina likanunuliwa na watu wengine kisha nao wakataka waniuzie kwa milion kumi
 
Kikao cha wafanyabiashara wa Kariakoo , wawakilishi mikoani na waziri mkuu kimeibua uozo na mengine mazito na magumu wanayopotia wafanyabiashara wa Tanzania.. Kikao kimeisha salama kwa kukubalika kwa hoja karibia zote zilizoibuliwa na wafanyabiashara.. Furaha imetamalaki wazi kwenye nyuso zao.. Lakini...

1. Wasiwaamini sana wanasiasa akiwemo waziri mkuu.. Wanasiasa wana maneno matamu mno yenye suluhu ya muda mfupi
2. Mamlaka ya mapato inafanya kazi kwa mujibu wa sheria na miongozo ya serikali kupitia waraka kwenye kila jambo.. Hivyo mteja anapobishiwa na ofisa mapato, afisa huyo analindwa na hiyo sheria bila kujali uzuri ama ubaya wake

Kamati iliyoundwa ihakikishe mapendekezo yote na maamuzi mapya yatakayotolewa yanarasimishwa na kutolewa kama waraka wa serikali kwenye gazeti la serikali.. Hii itasaidia pande zote mbili

Mikwara ya waziri mkuu itasaidia kwa muda tuu.. Litakapokuja kutokea tatizo kubwa mamlaka ya mapato itasimamia sheria na mwananchi atakosa haki kwakuwa hana chochote cha kuthibitisha
Nakumbuka Jiwe aliwahi toa amri ya kwamba eti Wakulima.wasibugudhiwe Kwa kusafirisha mzigo usiosidi tani 1 lakini Kwa taarifa yenu maofisa wa Halmashauri waliendelea kutoza Kodi kama kawaida na ukitoka hayo maelezo wanasema tunaomba waraka uliobadiki sheria..

Kwa hiyo TRA hawasimamii matamko ya Kisiasa Bali waraka maana wasipofanya hivyo watakiuka sheria na watakwamisha malengo ya Bajeti..

Na mwisho nimeona mfanyabishara anasema Mwigulu kwenye Kamatia anawa bypass lakini mwisho wa siku Bunge mbona Huwa Hali block sheria au mapendekezo mabaya? Hao wabunge wanajua wanachokifanya huko Bungeni kweli?

Maana Kwa dhana ya uwepo wa Bunge nimkudhibiti Nguvu ya Serikali Kwa maslahi ya Umma.
 
Kuna mdau kazungumzia hapo juu kwamba tatizo linaanzia mbali zaidi! Bungeni kunakotungwa sheria! Hao watunga sheria wenyewe ni mbumbumbu wa mengi
Ni kweli kabisa. Tatizo ni bunge. Na hii ni kutokana na jinsi wabunge wanavyopatikana. Tutegemee nini kwa wabunge wanaingia bungeni kwa dola kulazimisha kwa mtutu wa bunduki wakati wa uchaguzi? Bila uchaguzi huru and hence katiba nzuri mambo hayatabadilika. Wananchi wanatakiwa wawe na uwezo wa kuwachagua watu wanaoona wanafaa na kuwaondoa pale ambapo wanaona hawakidhi vigezo vyao.
 
Nakumbuka Jiwe aliwahi toa amri ya kwamba eti Wakulima.wasibugudhiwe Kwa kusafirisha mzigo usiosidi tani 1 lakini Kwa taarifa yenu maofisa wa Halmashauri waliendelea kutoza Kodi kama kawaida na ukitoka hayo maelezo wanasema tunaomba waraka uliobadiki sheria..

Kwa hiyo TRA hawasimamii matamko ya Kisiasa Bali waraka maana wasipofanya hivyo watakiuka sheria na watakwamisha malengo ya Bajeti..

Na mwisho nimeona mfanyabishara anasema Mwigulu kwenye Kamatia anawa bypass lakini mwisho wa siku Bunge mbona Huwa Hali block sheria au mapendekezo mabaya? Hao wabunge wanajua wanachokifanya huko Bungeni kweli?

Maana Kwa dhana ya uwepo wa Bunge nimkudhibiti Nguvu ya Serikali Kwa maslahi ya Umma.
Bunge gani mkuu? Hili lililoingia kwa dola kutumia mtutu wa bunduki? Tusitegee chochote! Tupiganie katiba nzuri itakayozaa uchaguzi huru tu...
 
Lakini hata wakiingia Kwa Dola kwani hawawezi kuona ubaya wa Baadhi ya mapendekezo ya sheria?

Mfano Ile Kodi ya lori mil.2,hiyo pesa nim kubwa sana.

Pia Kuna jambo watu wengi hawalijua na Huwa nasema miaka yote ,Tanzania hii Bado mfumo wa sekta ya Umma Ina mentality za Kijamaa na hivyo mataasisi mengi Yako structured Kwa muktadha wa udhibiti na sio facilitation..

Unakuta mfanyabishara amefanya kosa labda kaandikiwa faini ila Sasa wanakupa masharti magumu ya kulipa hiyo faini au wanafunga biashara nk badala wakupe mda uwe unalipa hata taratibu Ili usiathiri mambo mengine.

Sasa hiyo mentality plus ukiritimba na kutaka Rushwa inafanya mazingira ya biashara kuwa magumu na pia Hawa watu Huwa hawako flexible walichokafriri huko darasani ndio inakuwa hivyo hivyo..

Serikali iwe inaweka watu waliofanya kazi private sector Kwa ngazi hizo hizo za kuajiriwa kwenye Baadhi ya sekta badala ya kuweka wanataaluma tuu..

Fanya.mixing ya wataalamumitasiaidia,naongea haya nimewahi fanya kazi kwenye kampuni binafsi ya Wajenge nikajua jinsi ya ku handle biashara nk.
 
Wa fanya biashara kariakoo move yao ilikuwa nzuri sana…. Tena basi wasomi ni wachache hapo, tulitakiwa wananchi wengine tuwasupport kwa namna yeyote ili iwe wake up call kwa Serikali.
Cha kusikitisha wasomi na wana siasa uchwara tumejificha kwenye keyboards na simba na yanga
 
Lakini hata wakiingia Kwa Dola kwani hawawezi kuona ubaya wa Baadhi ya mapendekezo ya sheria?

Mfano Ile Kodi ya lori mil.2,hiyo pesa nim kubwa sana.

Pia Kuna jambo watu wengi hawalijua na Huwa nasema miaka yote ,Tanzania hii Bado mfumo wa sekta ya Umma Ina mentality za Kijamaa na hivyo mataasisi mengi Yako structured Kwa muktadha wa udhibiti na sio facilitation..

Unakuta mfanyabishara amefanya kosa labda kaandikiwa faini ila Sasa wanakupa masharti magumu ya kulipa hiyo faini au wanafunga biashara nk badala wakupe mda uwe unalipa hata taratibu Ili usiathiri mambo mengine.

Sasa hiyo mentality plus ukiritimba na kutaka Rushwa inafanya mazingira ya biashara kuwa magumu na pia Hawa watu Huwa hawako flexible walichokafriri huko darasani ndio inakuwa hivyo hivyo..

Serikali iwe inaweka watu waliofanya kazi private sector Kwa ngazi hizo hizo za kuajiriwa kwenye Baadhi ya sekta badala ya kuweka wanataaluma tuu..

Fanya.mixing ya wataalamumitasiaidia,naongea haya nimewahi fanya kazi kwenye kampuni binafsi ya Wajenge nikajua jinsi ya ku handle biashara nk.
Wakiingia kwa dola hawataweza kuona kwani issue kwao siyo kuwapigania wananchi bali ni dola, na dola unajua iko pale kunufaisha wanayoiendesha. Wabunge wa aina hii wakishapata kula yao wanaridhika kwani hawana woga wa kuondolewa hata kama hawasimami na wanachi. Wanajua uchaguzi ukija dola itawalinda.
 
Back
Top Bottom