Bila waraka wa serikali wananchi wataendelea kupata shida TRA

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
375,936
Reaction score
870,924
Kikao cha wafanyabiashara wa Kariakoo , wawakilishi mikoani na waziri mkuu kimeibua uozo na mengine mazito na magumu wanayopotia wafanyabiashara wa Tanzania.. Kikao kimeisha salama kwa kukubalika kwa hoja karibia zote zilizoibuliwa na wafanyabiashara.. Furaha imetamalaki wazi kwenye nyuso zao.. Lakini...

1. Wasiwaamini sana wanasiasa akiwemo waziri mkuu.. Wanasiasa wana maneno matamu mno yenye suluhu ya muda mfupi
2. Mamlaka ya mapato inafanya kazi kwa mujibu wa sheria na miongozo ya serikali kupitia waraka kwenye kila jambo.. Hivyo mteja anapobishiwa na ofisa mapato, afisa huyo analindwa na hiyo sheria bila kujali uzuri ama ubaya wake

Kamati iliyoundwa ihakikishe mapendekezo yote na maamuzi mapya yatakayotolewa yanarasimishwa na kutolewa kama waraka wa serikali kwenye gazeti la serikali.. Hii itasaidia pande zote mbili

Mikwara ya waziri mkuu itasaidia kwa muda tuu.. Litakapokuja kutokea tatizo kubwa mamlaka ya mapato itasimamia sheria na mwananchi atakosa haki kwakuwa hana chochote cha kuthibitisha
 
Mama Anatakiwa Achukue Hatua Kali Sana Kwa Hili Jambo La Kariakoo
Kuna Mfanyabiashara Toka Iringa Kaongea Nao Huko Walitaka Kufunga Maduka
Ikumbukwe Jambo Hili Likienea Tanzania Nzima Twafaa

Muhari Upo Serikalini, TRA, TARURA,MAAFISA BIASHARA, POLICE Hao Waliotajwa Hatua Zichukuliwe Kabla Kuku Hajanya Kuichafua Nchi
 
Kikao cha wafanyabiashara wa Kariakoo , wawakilishi mikoani na waziri mkuu kimeibua uozo na mengine mazito na magumu wanayopotia wafanyabiashara wa Tanzania.. Kikao kimeisha salama kwa kukubalika kwa hoja karibia zote zilizoibuliwa na wafanyabiashara.. Furaha imetamalaki wazi kwenye nyuso zao.. Lakini...

1. Wasiwaamini sana wanasiasa akiwemo waziri mkuu.. Wanasiasa wana maneno matamu mno yenye suluhu ya muda mfupi
2. Mamlaka ya mapato inafanya kazi kwa mujibu wa sheria na miongozo ya serikali kupitia waraka kwenye kila jambo.. Hivyo mteja anapobishiwa na ofisa mapato, afisa huyo analindwa na hiyo sheria bila kujali uzuri ama ubaya wake

Kamati iliyoundwa ihakikishe mapendekezo yote na maamuzi mapya yatakayotolewa yanarasimishwa na kutolewa kama waraka wa serikali kwenye gazeti la serikali.. Hii itasaidia pande zote mbili

Mikwara ya waziri mkuu itasaidia kwa muda tuu.. Litakapokuja kutokea tatizo kubwa mamlaka ya mapato itasimamia sheria na mwananchi atakosa haki kwakuwa hana chochote cha kuthibitisha
Kwa sababu ukiangalia hapo mara watu waseme Kodi kubwa mara utitiri wa Kodi nk nk
TRA wanatekeleza wajibu wao ila pia Kuna shida mahala nimeona,yaani wafanyabiashara wakienda Polisi kulalamika wale maofisa wanaachiwa..

Muwe na mechanism nzuri ya kufikisha malalamiko maana maofisa wa chini Huwa wanasumbua sana..

Mwisho Kwa nini TRA wasioweza na wanafanya vikao na wafanyabiashara walau mara 1 Kila baada ya miezi 3 Ili kutafuta shida kama hizi na iwe vikao vya uwazi?
 
Mwaka 2014 October gari yangu ilikamatwa na vijana wa Majembe pale Mtaa wa Rufiji Kariakoo kwa Tuhuma ya kuingizwa nchi bila utaratibu.. Wale vijana wakaniambia wanataka milion tatu waniachie

Nikawagomea kwakuwa kesi yangu tayari nilikuwa nimeshairipoti TRA.. Lakini kuepusha usumbufu nikataka kuwapa laki tano wakagoma nikapanda dau mpaka milion MOJA wakagoma kabisa wanataka 3M

Kiongozi wao anaitwa Charles naambiwa alishakufa akasema .. Wewe fanya maskhara gari utaipoteza hii.. Na ikawa hivyo[emoji24]
Tulienda mpaka TRA makao makuu .. Nikakutana na ofisa wa investigation anaitwa Peter nikajieleza lakini akaniambia twende yard kwanza pale W9.. Tukaenda W9 nikaipaki gari hapo na kupewa kikaratasi kimeandikwa SEIZURE NOTE! nikaambiwa nikitunze vizuri maana hicho ndio mbadala wa gari

Niliipambania gari yangu kwa miaka 8 kwa maumivu na gharama kubwa na kila aina ya ushahidi lakini uamuzi wa TRA ni kwamba mimi nilikuwa na makosa hivyo nilipe jumla ya milion 12 kodi na adhabu

Mwaka jana ukatoka waraka wa kusamehewa penalty lakini nilipe kodi tu nitoe gari
Kufika kwa maofisa nikaambiwa kodi sio million sita tena bali wanapiga kws viwango vya sasa! Mmh tukavutana sana hatimaye nikawashinda lakini ikaja ishu ya storage, kuja kupiga hesabu nadaiwa milion 27 ukijumlisha na ile milion 6 inakuja jumla milion 33.. Gari iliishia kupigwa mnada kwa milion 6[emoji24]
 
Duh,
Pole Sana!
[emoji24]

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
1.Rushwa.
2.Ufisadi.
3.10%

Hivi vitu ndivyo vina irudisha nyuma Tz na hao vijana wanao walaumu wanatumika kama daladala wanakusanya hela (rushwa) jioni wanaenda kukabidhi kwa mabosi wao huku wao nao wakiwa na ganji yao.

Ukitaka kuliondoa hili tatizo anzia juu,huku chini watajifunza wenyewe baada ya kuona wakubwa wao wameadabishwa.
 
Mwaka 2014 October gari yangu ilikamatwa na vijana wa Majembe pale Mtaa wa Rufiji Kariakoo kwa Tuhuma ya kuingizwa nchi bila utaratibu.. Wale vijana wakaniambia wanataka milion tatu waniachie

Nikawagomea kwakuwa kesi yangu tayari nilikuwa nimeshairipoti TRA.. Lakini kuepusha usumbufu nikataka kuwapa laki tano wakagoma nikapanda dau mpaka milion MOJA wakagoma kabisa wanataka 3M

Kiongozi wao anaitwa Charles naambiwa alishakufa akasema .. Wewe fanya maskhara gari utaipoteza hii.. Na ikawa hivyo[emoji24]
Tulienda mpaka TRA makao makuu .. Nikakutana na ofisa wa investigation anaitwa Peter nikajieleza lakini akaniambia twende yard kwanza pale W9.. Tukaenda W9 nikaipaki gari hapo na kupewa kikaratasi kimeandikwa SEIZURE NOTE! nikaambiwa nikitunze vizuri maana hicho ndio mbadala wa gari

Niliipambania gari yangu kwa miaka 8 kwa maumivu na gharama kubwa na kila aina ya ushahidi lakini uamuzi wa TRA ni kwamba mimi nilikuwa na makosa hivyo nilipe jumla ya milion 12 kodi na adhabu

Mwaka jana ukatoka waraka wa kusamehewa penalty lakini nilipe kodi tu nitoe gari
Kufika kwa maofisa nikaambiwa kodi sio million sita tena bali wanapiga kws viwango vya sasa! Mmh tukavutana sana hatimaye nikawashinda lakini ikaja ishu ya storage, kuja kupiga hesabu nadaiwa milion 27 ukijumlisha na ile milion 6 inakuja jumla milion 33.. Gari iliishia kupigwa mnada kwa milion 6[emoji24]
So sad [emoji17]
Pole sana mkuu
 
Hawa jamaa ndomana nawavutaga na vifo vibaya sana

Ova
 
Seriously Hata ukimloga mtu hapo kuna ubaya gani? Nini chanzo?? Mbona mimi sijawafanyia ubaya? Mbona mimi sio adui yenu?
 
Back
Top Bottom