Bila milioni mbili 'simvuli'i mwanaume chupi na sijaona mwanaume wa 'kutemebea' na mimi mji huu!

Tunamfahamu anagonjwa fulani kwenye sehemu zake. kwanza halipi. halafu milioni mbili nazo ni hela? mchamba yule uliza ametoka kijiji gani kule Bk.
 
gals bwana hizi ndo tafsiri za wanayosema NO= means yes . SITAKI = take me am yours MILIONI = alikuwa anawakaribisha
 
Nyie ndo hamkumuelewa huyo mdada! Yeye anataka kuchukuliwa na nyinyi nyote bila nyie kuwa na kinyongo sasa the best way ni kuwa'challenge'-Si anajua wanaume type nyingi ukiwatukania hayo mambo wako radhi wafe trying to reclaim their ego

kweli PetCash umeongelea kona ambayo si rahisi kuifikiria,Kweli wanaume hawataki kuletewa jeuri na yeye alijua hiyo itamsaidia kuwanasa kwa wingi,hivi hawa wanaume wakijua kuwa huu ulikua ni mtego tu wa dada wakuwanasa bado watajona wamemkomoa mdada,hata hivyo tuombee dada asiwe mgonjwa au kaka zetu wawe wametumia kinga.
 
Last edited by a moderator:
Ningekuwa na uwezo ningeipiga maruruku hii biashara.Lakini bahati mbaya biashara hii ndio biashara ya zamani kushinda biashara zote,kinachobadilika hapa ni jinsi tu muuzaji anavyokuwa mbunifu wa kutangaza biashara yake bila ya mnunuzi kuelewa,maana kwa situation hiyo ni wazi kabisa mshindi ni huyo dada aliyeweza kuvutia wateja bila ya wateja kujua kuwa walikuwa wakitangaziwa biashara.Next time akitokea wa hivyo muwe makini na msisahau kujikinga,hamjui huko alikokuwa aliwarubuni wangapi kwa njia hiyo.
 
We hujasikia vizuri! Kasema milioni mbili au elfu mbili?? Milioni mbili k mchelemchele tupu..pumbafu
 
Siku zote wajinga ndio waliwao!
Mwanamke anayejitambua hawezi kukubali kufanyiwa huo ushenzi eti kisa hakuna safari za nje?!kha..mjinga wa karne huyo..
 
Sasa waliotembea naye bila kumpa milion mbili wamemkopa? Kwenye ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe. Alishajiweka rehani sasa wadau lazima wapime
 
Mpango mzima wa kumkomoa, yeye si aliwaona wanaume wa pale washenzi!
sasa mpaka hapo atakuwa amejifunza kwamba 'shughuli' ni watu, na haitegemei hao watu wana hadhi gani mbele yako, wanauwezo wa kukufanya chochote bila hata wewe kutegemea kuwa ingewezekana.

Ngoja tuwasamehe tatizo wanaume wenyewe ni wa manyara baada ya kuwaza mambbo ya maendeleo mnakaa kudiscuss mwanamke wafikishie ujumbe wenzio nyie wote zeroooo kwanza mna tabia za kizamani za kusimuliana huyo dada akiwa na ngoma je
 
ndyoko!naona kama kawaida!umejitengenezea your trademark threads hapa jf!kitu cha kwanza utakachozeeka ktk mwili wako ni MASIKIO!unasikia na kusikiliza kweli wewe huna mfano!
 
Back
Top Bottom