Bila milioni mbili 'simvuli'i mwanaume chupi na sijaona mwanaume wa 'kutemebea' na mimi mji huu!

ndyoko

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
4,971
1,650
Hii maneno imetamkwa na dada mmoja wa kihaya aliyeajiriwa karibuni
ktk ofisi ya serikali, wilaya moja mkoani Manyara. Ajabu kayatamka
haya maneno mbele ya wanaume watumishi wenzake wakati akipata
chai kwenye mgahawa mmoja. Vidume wakataka kujua jeuri ya
hii maneno inatoka wapi haswa ukizingatia kuwa mshara wake
ni TGS D-watumishi wa umma mnaweza mkajua hako ka-salary
kalikompa hiyo jeuri.

Hadi sasa, list kama ya watumishi 6 (wa idara ya uhasibu) tayari
wameshampanda. Uzuri ni kwamba kauli sasa imegeuka na
kuwa 'aaaggrr wanaume wa hapa wote ni washenzi tu'.
Kwa mshahara wa TGS D, wengi tulikuwa tukijiuliza 'tuone ataishije' mjini
hasa kutokana na jeuri yake aloionyesha kwa wanaume.

Ujanja waloutumia wanaume walompanda, ni kuchelewesha malipo
ya madai yake kila alipoyaleta na kuhakikisha muda wote haendi safari
za nje kikazi kwa muda kama wa miezi 6. Alipokuwa akilalamika njaa,
ndipo wakware walipotuma maombi na kukubaliwa kiurahisi. Mbaya
zaidi kila mwanaume alipokuwa akienda 'kumla uroda' alihakikisha anawaambia
wanaume wenzake waje kwenye Guest husika ili wakati wanatoka
hao washikaji wawashuhudie.

My take:Kina dada warembo, chungeni sana kauli za kujisifia mbele za wanaume
Wanaume wana njia nyingi sana za kuweza kukupotezea heshima mbele
ya jamii.

Nyie ndo hamkumuelewa huyo mdada! Yeye anataka kuchukuliwa na nyinyi nyote bila nyie kuwa na kinyongo sasa the best way ni kuwa'challenge'-Si anajua wanaume type nyingi ukiwatukania hayo mambo wako radhi wafe trying to reclaim their ego
 
See....stupidity to the maximum!!! Wanaume mia mwagombea penzi la mdada mmoja mpaka mwafikia kukusanya akili zenu ili mumnyasenyase kwa kumnyongea safari za nje......hiyo ni AKILI MATOPE?? Alafu kwa kufanya hivyo mnafaidika nini hata mjisifie? Na nyie mmeacha kabisa wake nyumbani/wapenzi eti mwaenda kazini.........ptuuuuuuuu...kichefuchefu!!!!!
 
Siku hizi mambo yamebadilika, mtu anayejisifu kwa kugawa uroda kwa dau kubwa watu wanamkimbia. Aidha, anayejisifu kwa kwa na wadada wengi ni hatari kwake na kwa waliokaribu yake.
 
See....stupidity to the maximum!!! Wanaume mia mwagombea penzi la mdada mmoja mpaka mwafikia kukusanya akili zenu ili mumnyasenyase kwa kumnyongea safari za nje......hiyo ni AKILI MATOPE?? Alafu kwa kufanya hivyo mnafaidika nini hata mjisifie? Na nyie mmeacha kabisa wake nyumbani/wapenzi eti mwaenda kazini.........ptuuuuuuuu...kichefuchefu!!!!!

Mpango mzima wa kumkomoa, yeye si aliwaona wanaume wa pale washenzi!
sasa mpaka hapo atakuwa amejifunza kwamba 'shughuli' ni watu, na haitegemei hao watu wana hadhi gani mbele yako, wanauwezo wa kukufanya chochote bila hata wewe kutegemea kuwa ingewezekana.
 
Sio tu kwamba aliwaona ni washenzi, ofcoz hamnazo ndo maana she captured your mind! How would you know kuwa mmemkomoa??
 
Umenikumbusha DSA chuo mbeya kuna dada alitoka dar alikuwa mrembo nae alikuwa na majigambo mbeya sijaona mwanaume mpenzi wangu yupo new york, yalimkuta siku kuna jamaa Jose alitembea naye kama mara 3 kisha akambwaga ilikuwa noma chuoni madem wenzie walimwimbia sana.
 
Labda na ukimwi wameupata, waambie wakapime maana nao wamenasa for life.

Acheni tamaa wanaume, hicho kidude akibadiliki mkiingia na kutoka, mwingine ataingia na kuenjoy kama kawa.
 
Mi nilidhani hatoi kabisa, kumbe ni mwachiaji tu, na je yulu asiyeugawa uroda ni mjinga?
 
Mwanaume anafanya hivyo si kwa kuwa ANAKUPENDA ila anataka kukuakikishia anaweza Na anaweza Kukuaabisha

HAPO HAKUNA MWANAUME HATA MMOJA ATAKAYE WEKA NENO NDOA.. Watamchezea mpaka wachoke.
 
See....stupidity to the maximum!!! Wanaume mia mwagombea penzi la mdada mmoja mpaka mwafikia kukusanya akili zenu ili mumnyasenyase kwa kumnyongea safari za nje......hiyo ni AKILI MATOPE?? Alafu kwa kufanya hivyo mnafaidika nini hata mjisifie? Na nyie mmeacha kabisa wake nyumbani/wapenzi eti mwaenda kazini.........ptuuuuuuuu...kichefuchefu!!!!!

Yeye alifaidika nini Kusema mpaka mil 2. Amekosa sasa na wamempata kwa elfu tatu ya chakula.
 
Sio tu kwamba aliwaona ni washenzi, ofcoz hamnazo ndo maana she captured your mind! How would you know kuwa mmemkomoa??

Hivi ukijinadi sisi kwetu matawi juu! Mboga saba! Magari ya kubadili unavyotaka.

Siku wakikukuta huna kitu hata baiskeli. Nani Ataonekana Hana ki2 kichwani?
 
Back
Top Bottom