Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

Kwa hiyo hoja si kwamba kila Myahudi au Mkristo wa leo ni Muislamu kwa sababu anaamini Mungu mmoja. Hoja ni kwamba manabii waliokuwa wakimtii Mungu mmoja walikuwa wamejisalimisha kwake. Muhammad alikuja kuthibitisha na kuendeleza mwito huo, si kuanzisha Mungu mpya.

Wayahudi na Wakristo wamejisalimisha kwa Mungu mmoja. Kama hao Mitume. Sasa inakuwaje sio Waislam?.
 
😂😂😂😂😂
Kwenye Quran had wanafunz wa Yesu wameandikwa kuwa ni Waislamu.

Hata Adam na Hawa wameandikwa muwa ni Waislamu.
Ni Quran yenu. Ni maneno mmejiamulia kuandika.

Maneno ya uwongo. Ila sasa mmejiamulia. Tuwaache na hayo.

Shida ni Kuhoji.
Na ndio nikakuuliza. Kama kuwa Muislam ni Kuabudu Mungu mmoja. Basi hata wakristo na wayahudi wa sasa ni Waislamu.

Mababu zetu waliokuwa hawana Dini ni waislamu.
Inachekesha kwa kweli

Hapana, umechanganya “Muislamu” kama kujisalimisha kwa Mungu na “Muislamu” kama mfuasi wa Muhammad.

Qur’an 3:67 inasema Ibrahim alikuwa “Muislamu”, yaani aliyemnyenyekea Mungu; na 10:84 inasema Musa aliwaambia watu wake wawe miongoni mwa Waislamu. Hii haimaanishi kwamba walimfuata Muhammad kabla hajazaliwa.

Na Biblia yako inasema: “Bwana Mungu wetu, Bwana ndiye mmoja.” (Marko 12:29). Yesu pia alimwabudu Mungu (Yohana 17:3).

Kwa hiyo si kila mtu anayesema Mungu ni mmoja ni Muislamu kwa maana ya kufuata Muhammad. Lakini manabii waliomtii Mungu mmoja wanaitwa Waislamu kwa maana ya kujisalimisha kwa Mungu. Hilo ndilo Qur’an inalosema.
 
Wayahudi na Wakristo wamejisalimisha kwa Mungu mmoja. Kama hao Mitume. Sasa inakuwaje sio Waislam?.

Ndiyo, hapa ndipo unatakiwa kutofautisha maana ya “Muislamu” katika Qur’an na jina la dini ya Muhammad ﷺ. Qur’an inasema Ibrahim alikuwa “Muislamu” (3:67), na pia wanafunzi wa Yesu walisema: “Shuhudia kwamba sisi ni Waislamu.” (3:52).

Lakini hilo halimaanishi kwamba kila anayesema anaabudu Mungu mmoja leo ni Muislamu. Muislamu ni anayejisalimisha kwa Mungu na kufuata ufunuo Wake. Mitume wote waliwaita watu kumuabudu Mungu mmoja; ndiyo maana Qur’an inawaita Waislamu kwa maana hiyo.
 
Twende taratibu.
Iulize tena AI.

Wayahudi na wakristo wanamuamini Mungu mmoja.
Kama hiyo mitume kabla ya Mohamed.
Lakin hao mitume ni Waislamu ila Wayahudi na wakristo wa sasa sio Waislamu.

Ukasema
Muislamu ni anayejisalimisha kwa Mungu na kufuata ufunuo Wake.
Ufunuo huu ulikuja kabla ya Mtume au baada ya mtume?.

Ufunuo wake ni upi?.
Wale wote ambao waliwafuata na kuwasikiliza ile mitume ya zamani ni Waislamu bila shaka.
Sasa inakuwaje wayahudi wa zaman waliomsikiliza Mussa wawe waislam na ambao wa sasa sio waislam?.
 
Qur’an inasema Ibrahim alikuwa “Muislamu” (3:67), na pia wanafunzi wa Yesu walisema: “Shuhudia kwamba sisi ni Waislamu.” (3:52).
Ni sawa. Quran iandike inachotaka.

Mm nina hoji. Kabla ya mtume kuja.
Watu wote walikuwa waislamu.
Si ndio?.

Dini kama Wayahudi hawajabadili kitu. Bado wana Mungu huyo huyo mmoja. Je wayahudi wa sasa ni Waislamu?.
 
Twende taratibu.
Iulize tena AI.

Wayahudi na wakristo wanamuamini Mungu mmoja.
Kama hiyo mitume kabla ya Mohamed.
Lakin hao mitume ni Waislamu ila Wayahudi na wakristo wa sasa sio Waislamu.

Ukasema

Ufunuo huu ulikuja kabla ya Mtume au baada ya mtume?.

Ufunuo wake ni upi?.
Wale wote ambao waliwafuata na kuwasikiliza ile mitume ya zamani ni Waislamu bila shaka.
Sasa inakuwaje wayahudi wa zaman waliomsikiliza Mussa wawe waislam na ambao wa sasa sio waislam?.
Wayahudi wa zamani wakati wa Mussa wakamfuata waliokuwa na torati ya Musa , hawa wa Leo hawana hiyo torati . Torati Yao ni kumbukumbu tu
 
Ni sawa. Quran iandike inachotaka.

Mm nina hoji. Kabla ya mtume kuja.
Watu wote walikuwa waislamu.
Si ndio?.

Dini kama Wayahudi hawajabadili kitu. Bado wana Mungu huyo huyo mmoja. Je wayahudi wa sasa ni Waislamu?.
Wayahudi wa Leo wamebadili torati na injili pia au hujui?
 
Kwa hiyo si kila mtu anayesema Mungu ni mmoja ni Muislamu kwa maana ya kufuata Muhammad. Lakini manabii waliomtii Mungu mmoja wanaitwa Waislamu kwa maana ya kujisalimisha kwa Mungu.
Unaruka ruka sana.

Hapo juu kuna mtu kauliza je hao watu wa zamani ambao walimtii Mungu mmoja wameitwa ni Waislamu.

Kinachowazuia hawa wasasa wanaomuabudu Mungu mmoja kuwa Waislamu ni kipi?.
Wayahudi ni waislamu?.
 
Wayahudi wa zamani wakati wa Mussa wakamfuata waliokuwa na torati ya Musa , hawa wa Leo hawana hiyo torati . Torati Yao ni kumbukumbu tu

Torati ww unayo?.
Umesema wale walioifuata Torati ni Waislamu.

Unaweza ukanionyesha torati kwenye Quran?.
Nadhan ikiwepo Torati kwenye Quran itakuwa haijachakachuliwa na itakuwa sio kumbukumbu.
Haya Hebu tuonyeshe.
 
Nabii musa hakuwa na dini ya kiyahudi alikuwa ni muislamu
😂😂😂😂 mtu anaweza akakucheka . Akajua unatania. Kumbe uko serious mwanetu.

Kama yeye alikuwa Muislam. Na wanaomfuata na wenyewe walikuwa waislamu.

Sasa nikisema Wayahudi wote ni Waislam ni sawa.
Hata hawa wa sasahivi ni Waislamu.

Kama Torati imechakachuliwa. Bas watatumia Quran.
Tumalize tu kusema watu wote Duniani ni Waislamu 😂😂😂😂
 
Ulisoma kwa jaziba, wale wayahudi waliofuata torati ya Musa na wakamfuata Nabii Musa walikuwa hawafuati Judaism sawa na yesu na waliomfuata yesu wote hawakuwa wakristo kwani dini ya Mungu na ya mitume wote ni uislamu tu
 
Ulisoma kwa jaziba, wale wayahudi waliofuata torati ya Musa na wakamfuata Nabii Musa walikuwa hawafuati Judaism sawa na yesu na waliomfuata yesu wote hawakuwa wakristo

Sawa mwanetu.

hebu nisahihishe hapa.
wayahudi waliofuata torati ya Mussa walikuwa na dini gani?.

Judaism wa sasa wanamuamini Mungu mmoja na mtume wao ni Mussa na wanaishika torati. Je wanatofauti gan na wale wa zaman?.
 
Walikuwa waislamu.
Hawa wayahudi wa Sasa hawana torati . Soma Jeremiah 8.8 . Kuna kumbukumbu la torati. Torati ya Musa haipo

“Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu.” — Qur’an 3:19
Na pia:

“Na mwenye kutaka dini isiyokuwa Uislamu, haitakubaliwa kwake...” — Qur’an 3:85
“Uislamu” si lazima kumaanisha tu mfumo ulioanza wakati wa Mtume Muhammad ﷺ, bali kujisalimu/kumtii Mungu mmoja. Kwa mtazamo huo, manabii waliotangulia—kama Ibrahim, Musa na Isa—walifundisha kumuabudu Mungu mmoja, ingawa sheria na taratibu za ibada zilitofautiana katika nyakati zao.
 
Torati ww unayo?.
Umesema wale walioifuata Torati ni Waislamu.

Unaweza ukanionyesha torati kwenye Quran?.
Nadhan ikiwepo Torati kwenye Quran itakuwa haijachakachuliwa na itakuwa sio kumbukumbu.
Haya Hebu tuonyeshe.
Quran sio torati Kama iilivyo njili sio torati
 
😂😂😂😂 mtu anaweza akakucheka . Akajua unatania. Kumbe uko serious mwanetu.

Kama yeye alikuwa Muislam. Na wanaomfuata na wenyewe walikuwa waislamu.

Sasa nikisema Wayahudi wote ni Waislam ni sawa.
Hata hawa wa sasahivi ni Waislamu.

Kama Torati imechakachuliwa. Bas watatumia Quran.
Tumalize tu kusema watu wote Duniani ni Waislamu 😂😂😂😂
 
Walikuwa waislamu.
Hawa wayahudi wa Sasa hawana torati . Soma Jeremiah 8.8 . Kuna kumbukumbu la torati. Torati ya Musa haipo

Na pia:

“Uislamu” si lazima kumaanisha tu mfumo ulioanza wakati wa Mtume Muhammad ﷺ, bali kujisalimu/kumtii Mungu mmoja. Kwa mtazamo huo, manabii waliotangulia—kama Ibrahim, Musa na Isa—walifundisha kumuabudu Mungu mmoja, ingawa sheria na taratibu za ibada zilitofautiana katika nyakati zao.
Mbona una qoute vifungu vya bibilia ambayo mnaamini imechakachuliwa?

Uislamu ni dini ya kitapeli sana.
 
Back
Top Bottom