Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

Mwandishi ya Adam na Hawa kwenye Quran alikuwepo wakati Adam anaumbwa?
alikuwepo ALLAH muumba mbingu na ardhi na aliyemuumba Adam na hawa.akaumba na malaika.miongoni mwa malaika hao ni jibril aliyekuwa ana mshushia aya mitume kutoka Kwa ALLAH MWENYEWE.DIRECT.
QURAN INA NJIA TATU ZA KUFIKA.
1.INATOKA KWA ALLAH MWENYEWE.
2INAKWENDA KWA MALAIKA JIBRIL
3.ANAPELEKEWA MTUME MUHAMMAD.alafu anawasomea watu.
Aya injili zimetoka wapi?
 
Moja ya uongo tunaolishwa kuhusu uislam ni huu wa Quran kuwa inatoka kwa Allah. Ulaghai mtupu.
 
😃😃😃.mtume wetu hakujua kusoma Wala kuandika.alafu mbaya zaidi Quran imeshushwa Kwa lugha ya kiarabu.ikiwa na aya za kutosha.muhammad angeweza vipi kukopi?na kujua mambo ya mtoni na peponi?
 
Tutajie peponi analolijua hata Moja?
 
😳😳😳.kumbe mtu anatoka wapi
Mbegu ya mwanamume inapokuatana na yao la kike kwenye mji wa mimba, ndio mimba inatungwa.

Kama hata hili hujui ndio utelewa maswala ya peponi na motoni wewe kiande?
 
acha hizo ngonjera za darasani.
Mbegu za uzazi za mwanaume na yai la mwanamke pekee.hakusababishi kutoka mtoto.
Nani amefanya huo mfumo mpaka mbegu za uzazi za mwanaume na yai la mwanamke vikikutana anatokea mtoto?
 
Ukifa tunakufukia chini.
Na Wala hatukutupi kule angani.
Leta ushahidi kuhusu hiyo Pepo yako
Kwa hyo Kwa akili zako ukishazikwa ndo basi?
Kama unaamini kufa kupo kwanini usiamini Kuna KUFUFULIWA?
 
acha hizo ngonjera za darasani.
Mbegu za uzazi za mwanaume na yai la mwanamke pekee.hakusababishi kutoka mtoto.
Nani amefanya huo mfumo mpaka mbegu za uzazi za mwanaume na yai la mwanamke vikikutana anatokea mtoto?
Kwa hiyo swali lako linaulizwa mfumo wa uzazi ulipotokea?
Au hujui processza zygote kutokea?

Hapa inaonyesha jinsi ulivyo maamuma wa elimu sahihi!
Na sio binadamu tu, hata viumbe VINGINE asivyo viumba huyo muumbaji wenu wa mchongo Bado mchakato ni huo huo.
 
Back
Top Bottom