Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

Kwa hiyo swali lako linaulizwa mfumo wa uzazi ulipotokea?
Au hujui processza zygote kutokea?

Hapa inaonyesha jinsi ulivyo maamuma wa elimu sahihi!
Na sio binadamu tu, hata viumbe VINGINE asivyo viumba huyo muumbaji wenu wa mchongo Bado mchakato ni huo huo.
Hizo process anazifanya nani.
Wakati mungu ndo alimuumba Adam na hawa ndo wakazaliana tukatoka sisi .
Kiumbe chochote chenye uhai mfumo wake wa uzazi umetengenezwa na MUNGU.kujamiiana ni NJIA tu.ila yupo aliyetengeneza huo mfumo
 
😃😃😃.mtume wetu hakujua kusoma Wala kuandika.alafu mbaya zaidi Quran imeshushwa Kwa lugha ya kiarabu.ikiwa na aya za kutosha.muhammad angeweza vipi kukopi?na kujua mambo ya mtoni na peponi?
Hivi kiukweli ulianza baada ya Muhammad au Kabla ya Muhammad?
 
Kwa hiyo wewe utapaa?
Hivi hili nalo ni swali la kuamini, au tunajua hakika utakufa?
Tofautisha Imani na kujua
Sasa mtu anakufaje?Mimi siamini kama Kuna KUFA.
Ila naamini KUFUFULIWA.
Nakushangaa wewe unaamini kufa kwani ulishawahi KUFA?mpaka uamini kufa?
Nithibitishie kuwa Kuna KUFA
 
  • Kicheko
Reactions: Lax
Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.

Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.

Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Wewe choko mgongo wako uko wazi halafu unataka kwenda peponi kupaka mavi kirahisirahisi hivyo
Lazima uchomwe mpaka majivu, halafu majivu yachomwe mpaka masizi, halafu masizi yachomwe mpaka moshi ndio tukufikirie kama umeaacha kufukuliwa mtaro
 
alikuwepo ALLAH muumba mbingu na ardhi na aliyemuumba Adam na hawa.akaumba na malaika.miongoni mwa malaika hao ni jibril aliyekuwa ana mshushia aya mitume kutoka Kwa ALLAH MWENYEWE.DIRECT.
QURAN INA NJIA TATU ZA KUFIKA.
1.INATOKA KWA ALLAH MWENYEWE.
2INAKWENDA KWA MALAIKA JIBRIL
3.ANAPELEKEWA MTUME MUHAMMAD.alafu anawasomea watu.
Aya injili zimetoka wapi?
Hivi unaweza kuniambia hayo majina ya Adam na Hawa yanapatikana katika Surah na mstari upi wa Quran tukufu?

Yasije yakawa ni majina ya kutunga hayapo katika Uislam
 
Uislamu ulianza kabla ya muhammad.tofauti ilikuwa mitume tu.ila kila mtume alikuja kuhuburi Mungu mmoja.ambayo ndio itikadi ya Mungu wa kweli.
Ndo maana uislam unaikubali mitume yote hata wale wayahudi na mataifa mengine
Niambie kabla ya Muhammad,
Mtume yupi kabla yake alisema,
Ashhadu allah illah, ashadu Muhammad Rasul illaah?
Kama hakuna hujue Uislamu haukuanzia kabla ya Muhammad.
Tuache uongo
 
Hizo process anazifanya nani.
Wakati mungu ndo alimuumba Adam na hawa ndo wakazaliana tukatoka sisi .
Kiumbe chochote chenye uhai mfumo wake wa uzazi umetengenezwa na MUNGU.kujamiiana ni NJIA tu.ila yupo aliyetengeneza huo mfumo
Lete ushahidi usio na shaka.

Ila Mimi mfumo wa uzazi ni Moja ya mifumo tu.

Kuna wa hewa, Kuna wafahamu, Kuna wa blood circulation.

Mpaka Sasa hujui hata unachojaribu kueleza.

Kwani Kila kiumbe lazima kizaliwe kwa manii?

Elewa ili utokee ni pale male na women chromosomes zinapo pair, it has nothing to do with your supernatural.

Acha ubishi
 
alikuwepo ALLAH muumba mbingu na ardhi na aliyemuumba Adam na hawa.akaumba na malaika.miongoni mwa malaika hao ni jibril aliyekuwa ana mshushia aya mitume kutoka Kwa ALLAH MWENYEWE.DIRECT.
QURAN INA NJIA TATU ZA KUFIKA.
1.INATOKA KWA ALLAH MWENYEWE.
2INAKWENDA KWA MALAIKA JIBRIL
3.ANAPELEKEWA MTUME MUHAMMAD.alafu anawasomea watu.
Aya injili zimetoka wapi?

Dogma.
Nani mwingne alikuwepo pangoni wakat mtume anakabwa?.

Quran imeandikwa na kukusanywa baada ya miaka 20 mtume kufariki.
Haikushushwa.

Mtume aliwezaje kuwasomea majini quran wakat yeye hakuwa anajua kusoma wala kuandika?.
Aliwakusanya hao majini na mashetani wap?.
 
Uislamu ulianza kabla ya muhammad.tofauti ilikuwa mitume tu.ila kila mtume alikuja kuhuburi Mungu mmoja.ambayo ndio itikadi ya Mungu wa kweli.
Ndo maana uislam unaikubali mitume yote hata wale wayahudi na mataifa mengine

Mtu unawezaje kuwa Muislam bila kusema shahada?.
Mitume yote kabla ya mohamed haikuwah kufuata hata nguzo moja katika zile 5 za kiislamu.
Imekuwaje wawe waislamu.

Kobaz mnapenda kujiamulia tu mambo. Na kujinasibu na mitume isiyowahusu.
 
Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.

Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.

Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.

Ndivyo alivyokuambia mchungaji wako huyu baada kupiga simu

View: https://www.instagram.com/reel/Dc67nRntFWm/?stkn=MTAycHhhdDI3cHo2bw==
 
Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.

Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.

Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Umechanganya “kupita juu ya Jahannam” na “kuingia na kuteswa ndani yake.” Qur’an 19:71 inasema “hakuna yeyote miongoni mwenu isipokuwa atafika/atapita hapo,” kisha 19:72 inasema: “Kisha tutawaokoa wale waliomcha Mungu.” Tafsiri za Kiislamu zinaeleza kuwa waumini wanapita juu ya Jahannam kupitia Sirāt, si kwamba wote lazima waingie humo kuteswa.

Na hiyo mada ya “kusugua mapaji ya uso ili sigida iwe tochi Akhera” haina msingi katika Qur’an. Lete aya inayosema hivyo.
 
Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.

Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.

Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.

usijisahau mwenyewe kwani yesu amesema kila mtu hata mwenyewe ni kama sangara tu au ndafu ni machumvi na kuchomwa tu

1790490231637.png
 
Mtu unawezaje kuwa Muislam bila kusema shahada?.
Mitume yote kabla ya mohamed haikuwah kufuata hata nguzo moja katika zile 5 za kiislamu.
Imekuwaje wawe waislamu.

Kobaz mnapenda kujiamulia tu mambo. Na kujinasibu na mitume isiyowahusu.
Ndio maana mimi kuanzia leo nimeamua kuanza kwenda Kanisani na nimeanza mafundisho ili niweze kubatizwa.
 
Injili ni moja tu.

Back
Top Bottom