Lax
JF-Expert Member
- Feb 10, 2022
- 12,297
- 18,134
wewe jibu swaliSasa kama hata Adam baba wa binadamu haumfahamu unaishi Dunia gani ndugu?
wewe jibu swaliSasa kama hata Adam baba wa binadamu haumfahamu unaishi Dunia gani ndugu?
Kama mtu anakufa basi lazma atafufuliwa.hakuna kitakachopotea.wewe jibu swali
sawa mkuuKama mtu anakufa basi lazma atafufuliwa.hakuna kitakachopotea.
Sio suala la mazingaombwe kufufuka.
Kwa hyo kama unaamini Kuna KUFA basi Kuna muda utakuja KUFUFULIWA
Baba. Mama na madaktari na manesiKwani wewe wakati unazaliwa nani alikuwepo?
Umejuaje kuwa walikuwepo?Baba. Mama na madaktari na manesi
Mm nimezaliwa hosp..Umejuaje kuwa walikuwepo?
Wakati wazazi wako wanakutafuta nani alikuwa shahidi?
Ila tunaamini wazazi wako walikutana ndo ukatoka wewe.
Kuhusu mtume kupewa utume kwenye pango hyo ni historia ya kweli Haina shaka ndo maana Leo unaona uislam.bila tukio lile uenda tusingekuwa na uislam.
Kuhusu mtume kupewa utume kwenye pango hyo ni historia ya kweli Haina shaka ndo maana Leo unaona uislam.bila tukio lile uenda tusingekuwa na uislam
Musa alipokuwa peke yake Midiani, ni nani aliyeshuhudia Mungu alipomtokea katika kichaka? (Kutoka 3:1–6)
Paulo alipokuwa njiani kwenda Damasko, ni nani aliyeshuhudia kila kitu alichokiona na kusikia? (Matendo 9:3–9)
Sunny days wouldn't be special if it wasn't for rain,Joy wouldn't feel so good if it wasn't for pain ,Its like Yin and Yang.Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.
Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.
Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Kwa habar ya Mussa. Tumeona huko mbeleni kuna ishara alizifanya mbele ya watu. Na ni ishara zilizojidhihirisha kuwa ni kweli ametumwa na Mungu.
Kuanzia kwenye ile Fimbo na mapigo yale 7 aliyopigwa Misri.
Kwenye Nyoka wa shaba.
Na ishara nyingine nyingi tu.
Kwa habari ya Paulo.
Wapo mashuhuda walisikia ile sauti.
rudi kasome
Matendo ya Mitume 9 : 7
"Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu."
Sasa kwa Upande wa Mtume wako.
Nipe ishara hata moja aliyofanya ambayo watu walidhihirisha kweli katumwa na allah.
Utasema ile ya kuugawa mwezi mara 2 sio 😂😂😂.
Utakuwa unachekesha.
Nipe mstar wa Quran unaosema wakat Mohamed anashushiwa wahyi watu waliona/kuhisi au kusikia.
Kobazi wajiandae na mateso ya jehanamu hakuna namna.
Kwa habar ya Mussa. Tumeona huko mbeleni kuna ishara alizifanya mbele ya watu. Na ni ishara zilizojidhihirisha kuwa ni kweli ametumwa na Mungu.
Kuanzia kwenye ile Fimbo na mapigo yale 7 aliyopigwa Misri.
Kwenye Nyoka wa shaba.
Na ishara nyingine nyingi tu.
Kwa habari ya Paulo.
Wapo mashuhuda walisikia ile sauti.
rudi kasome
Matendo ya Mitume 9 : 7
"Wale watu waliokuwa wanasafiri pamoja na Saulo walisimama pale, wakiwa hawana la kusema; walisikia ile sauti lakini hawakumwona mtu."
Sasa kwa Upande wa Mtume wako.
Nipe ishara hata moja aliyofanya ambayo watu walidhihirisha kweli katumwa na allah.
Utasema ile ya kuugawa mwezi mara 2 sio 😂😂😂.
Utakuwa unachekesha.
Nipe mstar wa Quran unaosema wakat Mohamed anashushiwa wahyi watu waliona/kuhisi au kusikia.
na Lazaro anatoka kaburini.“Lazaro, njoo nje!”
Jagina umehamia kwenye Miujiza ya Yesu.
Kwasababu nilikuuliza miujiza aliyofanya mtume wako na ukakosa.
Kwani Hoja ndio inajibiwaga namna hii?.
Iulize vizur AI labda inaweza kuokoteza okoteza miujiza ya mtume wako na ukanijibu.
Matendo 9:7 inasema waliosafiri na Paulo walisikia sauti lakini hawakumwona mtu. Basi hawakuwa mashahidi wa kila alichokiona Paulo , hilo ndilo nililosema
Na kuhusu Muhammad, Qur’an 42:51 inaeleza wahyi, na Sahih Bukhari 2 inaeleza Aisha alivyomwona Muhammad akiwa katika hali ya wahyi.
Kuhusu Hili.Na Mariamu alipata mimba ya Yesu kwa Roho Mtakatifu (Mathayo 1:18; Luka 1:35) jee, nani alishuhudia tukio hilo lenyewe?
39 Siku zile Maria alifunga safari akaenda kwa haraka hadi mji mmoja ulioko katika milima ya Yuda.40 Akaingia katika nyumba ya Zakaria na kumsalimia Elisabeti.41 Mara Elisabeti aliposikia sauti ya salamu ya Maria, mtoto mchanga alicheza tumboni mwake. Elisabeti akajazwa Roho Mtakatifu,42 akasema kwa sauti kubwa, “Umebarikiwa wewe kuliko wanawake wote, na amebarikiwa mtoto utakayemzaa!43 Mimi ni nani hata mama wa Bwana wangu aje kwangu?44 Tazama! Sauti ya salamu yako ilipoingia masikioni mwangu, mtoto mchanga alicheza kwa furaha tumboni mwangu.45 Heri yako wewe uliyeminiri kwamba yale uliyowambiwa na Bwana yatatimizwa
Miujiza aliyofanya mtume Muhammed saw ni Mingi na muujiza ulio Hai mpaka Leo ni quran .saa nipe muujiza aliyofanya yesu ni upi ulio Hai mpaka leo, ?