Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

Bila Jehanamu hakuna kuiona pepo

jiwe angavu

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
22,369
Reaction score
43,247
Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.

Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.

Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
 
Attachments

  • Screenshot_20260926_195818_Google.jpg
    Screenshot_20260926_195818_Google.jpg
    106 KB · Views: 3
Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.

Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.

Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Ila uislamu wetu umekaa kijanja janja.

Ipo siku ntachukua maamuzi magumu ya kubatizwa tu.
 
Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.

Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.

Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Jagina njoo huku utoe mwongozo mkuu
 
umescroll mtandaoni hii leo, mchana nimeikuta fb kenya
 
Kurwani imetamka wazi waislam wote lazima waende jehanam(hell) kwanza wakapate mateso ndio ama waende peponi au wabaki hapo jehanam kuendelea kula msoto.
Kwa mujibu wa Quran (Surat Maryam) Aya ya 71 hadi 72.

Ndio mana waislamu wanatakiwa wasugue mapaji ya uso ili kutengeneza sigida ili iwasadie kumulika giza la akhera yani sigda ni tochi ukiwa akhera.

Kwani hakuna pepo bila kupita jehanam.
Nimeangalia ulichonukuu neno jahanam sijaliona
 
Ongezea kuwa kuna wengne wataingia kwanza motoni na kuchomwa kidogo alafu Allah atawasamehe na kuwapeleka peponi. 😂😂😂.
 
Back
Top Bottom