Bikra is Overrated

Bikra is Overrated

Status
Not open for further replies.
huwezi kununua kofuli iliyo vunjwa na mwingine ukaenda kufungia nyumba Yako, btw Kila mtu ana maoni yake kama huna we tulia tu.
 
Mi nafkri mtu anapotafuta bikra inakua sio sababu tu ya kuenjoy kitu taiti, ila ni kupata kitu cha kwako mwenyewe kuanzia mwanzo. Mana ukiangalia saivi kuna janga kubwa la kuoa madem wa watu
 
Hii ndo changamoto ya kuweka ndani chombo used, she'll always compare your game. Na pia waliomkula wakikutana nae ni rahisi sana kuwavulia chup* tena.
Ndio ukweli huo mfano huyu mwanamke mahari alinitoza laki 8 kumbe ningeongezea mzigo kidogo ningepata binti kigori kule kwa wafugaji
 
Kubali tu umekosea mkuu. Inakuaje mtu unaanzisha uzi halafu unaporomosha matusi hivi dhidi ya viungo vya wanawake wenzio. You didn't anticipate the backlash? Really?
Kaangalie tena pale juu...nilisema naexpect ujinga kutoka kwa wanaume wasio na hoja kama wewe. Nimeongea vitu vinne pale umeshindwa kunijibu fungal bakuli lako tusipangiane, sigombei trophy humu unitukane nikuangalie tu....angalia posts za niliowatusi kama hawajqniattack wao..shenzi, na wewe kama unataka ugomvi Ingia tu
 
Eti hutukani..

Usidhanie huonekani mpumbavu wewe..

Kama kusambaza upendo kamuulize mamako!

Eti gari limetumika muda mrefu, nonsense, ukiambiwa utalijuaje utajibu?! Bikira la kiume we!
1.Mapaja yenu huwa yanashuka chini.

2.Yale labia majora yanakosa mvuto na kukosoa ushirikiano.

3.Ile nanii huwa haifungi haijalishi muda huo Iko aroused au la! yaani imekaa pwaa

4.Sugu ya kisimi na kuta za uke, bila msuguano wa muda mrefu au spidi kama kimbunga unakuwa haujaelewa.

5.Sugu kwenye maungio ya mikono

6.Kukosa aibu na kutukana jinsia ya kiume

7.kutamani kuishusha hadhi na thamani
bikra.

8.kukosa kujiamini

9.kutoona thamani yake, kwa sababu ulitolewa bila sababu ya msingi

10. Kiuno huwa kinagawanyika yaani kinatengea

11.Makalio yanarendemka

ATUHITAJI AKILI YA MWANAMKE KWENYE UTAFUTAJI ILA TUNACHOKITAKA NI UPENDO, USAFI WAKE WA NAFSI NA MWILI NA UTULIVU.
VINGINE TUTATAFUTA WENYEWE

.
 
1.Mapaja yenu huwa yanashuka chini.

2.Yale labia majora yanakosa mvuto na kukosoa ushirikiano.

3.Ile nanii huwa haifungi haijalishi muda huo Iko aroused au la! yaani imekaa pwaa

4.Sugu ya kisimi na kuta za uke, bila msuguano wa muda mrefu au spidi kama kimbunga unakuwa haujaelewa.

5.Sugu kwenye maungio ya mikono

6.Kukosa aibu na kutukana jinsia ya kiume

7.kutamani kuishusha hadhi na thamani
bikra.

8.kukosa kujiamini

9.kutoona thamani yake, kwa sababu ulitolewa bila sababu ya msingi

10. Kiuno huwa kinagawanyika yaani kinatengea

11.Makalio yanarendemka

ATUHITAJI AKILI YA MWANAMKE KWENYE UTAFUTAJI ILA TUNACHOKITAKA NI UPENDO, USAFI WAKE WA NAFSI NA MWILI NA UTULIVU.
VINGINE TUTATAFUTA WENYEWE

.
Any evidence backing your claims 🤔
 
Wanaume wana mambo mengi kichwani,kuwaletea mada hii ni kuwachokoza mpenzi

Japo kuoa bikra ni muhimu sana,binti asipokengeuka na vijana wa mjini anakuwa hajui kitu kuhusu sex nje ya mumewe hivyo kumweshimu mume inakuwa ni 99%
Heshima na sex ni vitu visivyofanana kabisa, faithfulness inawezekana na isiwezekane hata kama ulimkuta bikra, human are so emotional and curious
 
Nimeona huku watu wako so desperate kupata bikira mpaka kutaka kuoa young girls vijijini huko...

Sawa utampata kigori huko kijijini, akija mtu huyu huwezi hata kufanya discussions nae sababu mko class tofauti, hamuwezi kuwa level moja mkadiscuss maendeleo...more likely kwanza umemzidi elimu..

Second bikira inatolewa siku moja, sio kwamba itaota kila siku, inatoka siku moja then una realise umebeba mtu mzigo huna chemistry nae, sio rafiki yako..hamna chemistry baada ya hapo ..mtuambie nyie mliioa vijijini is it worth kukaa na mzigo kama huu kisa tu bikira ya siku moja?!

Tatu sio kweli kuwa na bikira ndio mtu atabaki kuwa na uke mdogo(mnato)daima , hayo ni maumbile tu ya mwanamke, wanawake wanatofautiana ..huyo mkeo ambae ulimkuta bikira anaweza kuzaa na uke wake ukabaki mkubwa.(sio wote). Wide notion kuwa ukifanya sex mara nyingi uke unalegea ni myth, ni maumbile tu ya wanawake na tunatofautiana..

Mwisho nilishawahi kuuliza swali humu tangia muanze kuhubiri bikira nani kakutana nayo??? Out of millions of men wanaotumia JF pamoja na wale wanaume wenye fake ID 🤣🤣😆 ni wachache sana walikuwa na guts za kusema wamekutana nazo..majority ni hola, so bikira is overated here in JF...bebeni mangurumbembe yenu maisha yasonge...stop looking for a needle in haystack...

Wasalaam

Anita

Mimi huyoooooooo byeee
Bikira zipo, wapo wanawake wamejifunza vizuri tu na wamesoma binafsi mke wangu nimemkuta na bikira na ni digrii holder so bikira zipo, kama hauna sawa ila sababu za chemistry siziwepo
 
Kwanza tambua asilimia kubwa ya mabinti wanao tokea familia bora hadi wanafika vyuo vikuu wengi ni mabikira.Huko uswahilini ndio kupata bikra sio kazi maana wazazi hawana vipato inabidi mabinti wajiongeze.

Pia hata mwanamke awe ana PhD,hakuna mwanaume aliyekamilika nafanya discussion na mwanamke.Mwanamke ni kupewa maelekezo na kuyafanyia kazi-uanze ku discussion naye kuhusu nini???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom