Bikra is Overrated

Bikra is Overrated

Status
Not open for further replies.
It depends na dating pool yako. It's not likely ukute over 23 bikra yuko mtaani kama hasomi au hayuko mazingira ya kumpa uhuru mdogo.

Hata hivyo kuna mambo mengi duniani huwezi kuyamaliza. Bikra sio mafanikio.
Ila nimeaanza kuamini kuwa mabikra wengi sasa hivi ni watoto wa kishua (geti kali) ambao wako mijini, vijijini ambako watu wengi hudhani Kuna mabikra ndiko bikra hutolewa mapema sana Kwa watoto wa kike.
 
Mimi nishawahi kuoa na nilikuta mkewangu used na watu walionisumbua kwenye ile ndoa ni washkaji wawili waliomla aisee....kuna jambo nilimtega ndipo akafunguka kumbe yule mwanamke simfanyi vizuri akanilaumu...na Kuna siku nilifuma meseji na huyo X wake sasa Kuna moja anamuuliza vipi mumeo anakuwezea mkewangu akajibu ""mmmmh yaani mwenzangu wewe acha tu""....wakaendelea kuchart huku mshkaji anamchimba mkewangu kuhusu udhaifu wangu na mkewangu akawa anakwepa kufunguka ila baadae alfunguka tu mwenyewe....hapo ndipo nilijua kumbe huyo ndio kamtoa bikra na ndie alimfundisha kunyonya mboo... kiukweli inauma mno kumuoa mwanamke anaejua kila kitu tafsiri yake usipokuwa kama waliemla kabla yako aisee kazi unayo...kiufupi ndoa yangu ilivunjika kwasababu ya kufulia kiuchumi na mke nae akawa pasua kichwa
 
Ni lazima kama wanaume tu-set standards. Kama wao hawawezi date au kuolewa na broke men.

Kwa nini walazimishe bikra sio big deal. Binafsi siwezi lipia mahari mwanamke ambaye sio bikra, na chuchu imesimama.

Tukiwachekea watatulazimisha tubebe hadi wasio na bikra zote mbili ati wamesha-explore the world. Hell no

Natafuta Ajira . Weka neno lako mkuu
 
Bikra nimekutana nayo mwaka jana, kwa mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili. Nimeikataa tukiwa chumbani kabisa tupo uchi sababu sikuwa committed nae. Sijui kama anayo bado au hana.

Girlfriend wangu wa sasa nilimkuta nayo. Previously nilikuwa na girlfriend mwingine (R.I.P) nilimkuta nayo.

Ambalo hamjui ni kuwa bikra zipo mjini zaidi kuliko vijijini. Bikra ziko private schools zaidi ya shule za kutwa. Bikra zipo kwa matajiri na middle income earners kuliko kwa makapuku. Na sijawahi kutana na bikra alafu akaniambia anayo, huwa nakutana nayo kama surprise. Ambao hawana ndio huwa wanasema "mimi sijawahi" alafu wanajifanya kuumia.
Ukweli kabisa, huwa hawasemi. Hata mimi nilikutana na mmoja zaidi alisema anaumia tu, ila hawa sasa ambao hawana mmh kwa kujiongezea points ni balaa.🙌
 
Ni lazima kama wanaume tu-set standards. Kama wao hawawezi date au kuolewa na broke men.

Kwa nini walazimishe bikra sio big deal. Binafsi siwezi lipia mahari mwanamke ambaye sio bikra, na chuchu imesimama.

Tukiwachekea watatulazimisha tubebe hadi wasio na bikra zote mbili ati wamesha-explore the world. Hell no

Natafuta Ajira . Weka neno lako mkuu
Huyu Amina lazima aache malapa nyuma kwa hiki alichoanzisha hapa.
 
Kiukweli bikra ni ngumu sana siku hizi kuzipata, ubahatike sana. Kulingana na utandawazi, watu siku hizi huanza mambo ya kikubwa mapema sana. Darasa la sita tuu unakuta tutoto tunacheza michezo ya kikubwa.

Kuhusu kuwa overated; sio kweli, bikra ina maana sana. Mimi ni shuhuda, nimeoa bikra.
Fafanua mkuu kwa faida zaidi maana kuna binti nina mipango nae na yupo Bikra
 
Kiukweli bikra ni ngumu sana siku hizi kuzipata, ubahatike sana. Kulingana na utandawazi, watu siku hizi huanza mambo ya kikubwa mapema sana. Darasa la sita tuu unakuta tutoto tunacheza michezo ya kikubwa.

Kuhusu kuwa overated; sio kweli, bikra ina maana sana. Mimi ni shuhuda, nimeoa bikra.
Kwani,kwa wastani mwanaume anatakiwa apate bikra ngapi maishani?
 
Bikra nimekutana nayo mwaka jana, kwa mwanafunzi wa chuo kikuu mwaka wa pili. Nimeikataa tukiwa chumbani kabisa tupo uchi sababu sikuwa committed nae. Sijui kama anayo bado au hana.

Girlfriend wangu wa sasa nilimkuta nayo. Previously nilikuwa na girlfriend mwingine (R.I.P) nilimkuta nayo.

Ambalo hamjui ni kuwa bikra zipo mjini zaidi kuliko vijijini. Bikra ziko private schools zaidi ya shule za kutwa. Bikra zipo kwa matajiri na middle income earners kuliko kwa makapuku. Na sijawahi kutana na bikra alafu akaniambia anayo, huwa nakutana nayo kama surprise. Ambao hawana ndio huwa wanasema "mimi sijawahi" alafu wanajifanya kuumia.
Upo sahihi, nilimkuta binti ana mika 26 na kamaliza Masters na nikaitoa Bikra yake. Ila huyo binti alinicheat na kuzaa na jamaa ambaye piaalikuwa mume wa mtu. Hoja ya Anita Makirita ni kuwa binadamu siyo static, yupo dynamic. Siyo kuwa ukimkuta mwanamke bikra, basi maisha yake yote atakuwa na wewe tu. Mwanamke bikra ni hatari kwa vile ataanza kutaka kuonja dick tofauti tokana na vijiwe vyao. Wengi wanaharibiwa na vijiwe. Ndo maana anajenga hoja kuwa Bikra ipo overrated bure.

Nami naingia na theory yangu kuwa mwanamke bora wa kuoa ni yule ambaye alishazionja akazikinai sasa anataka kujenga familia. Huyo mwanamke lazima awe na zaidi ya miaka 30.
 
Kiukweli bikra ni ngumu sana siku hizi kuzipata, ubahatike sana. Kulingana na utandawazi, watu siku hizi huanza mambo ya kikubwa mapema sana. Darasa la sita tuu unakuta tutoto tunacheza michezo ya kikubwa.

Kuhusu kuwa overated; sio kweli, bikra ina maana sana. Mimi ni shuhuda, nimeoa bikra.
Sema ni bahati ila zipo. Mie kwa wastani nadhani kama 6 hivi. Ila kuoa nilioa asiye na bikra maana binti bikra katika mahusiano ni mtihani ajabu. Lazima uwe mvumilivu
 
Nimeona huku watu wako so desperate kupata bikira mpaka kutaka kuoa young girls vijijini huko...

Young girls wanamiaka mingapi?
Sheria za bongo binti wa miaka 16 anaruhusiwa kuolewa. Kwa utaratibu maalumu.
Na uhakika ni kuwa wapo maelfu kwa maelfu wa mabinti wa umri huo wana bikira.

Sawa utampata kigori huko kijijini, akija mtu huyu huwezi hata kufanya discussions nae sababu mko class tofauti, hamuwezi kuwa level moja mkadiscuss maendeleo...more likely kwanza umemzidi elimu..

Aliyekuambia binti kuwa bikra kunampunguzia elimu au akili ni nani?
Wapo watoto kibao wanamaliza kidato cha sita wanabikira.

Mimi mke wangu wa kwanza, nimemkuta bikira akiingia mwaka wa kwanza pale Muhimbili.

Wapili, akiwa kidato cha tano. Wote nimewaoa na wako smart, wasomi, na sasa kuhusu maendeleo kwao sio tatizo.

Second bikira inatolewa siku moja, sio kwamba itaota kila siku, inatoka siku moja then una realise umebeba mtu mzigo huna chemistry nae, sio rafiki yako..hamna chemistry baada ya hapo ..mtuambie nyie mliioa vijijini is it worth kukaa na mzigo kama huu kisa tu bikira ya siku moja?!

Kwamba wanawake wa mjini hawazaliwi na bikira mpaka useme wanawake wa vijijini. Umalaya ni tabia ya mtu. Haihusiani na mjini au kijijini. Wapo wadada kibao wa mjini wanazo hizo bikira.

Tatu sio kweli kuwa na bikira ndio mtu atabaki kuwa na uke mdogo(mnato)daima , hayo ni maumbile tu ya mwanamke, wanawake wanatofautiana ..huyo mkeo ambae ulimkuta bikira anaweza kuzaa na uke wake ukabaki mkubwa.(sio wote). Wide notion kuwa ukifanya sex mara nyingi uke unalegea ni myth, ni maumbile tu ya wanawake na tunatofautiana..

Ishu ya kuzaa ni ishu nyingine. Mwanamke uliyemuoa akiwa bikira kwa sisi wanaume tunaelewa vile tunavyomchukulia, thamani yake, na vile qmbavyo tuko proudly

Mwisho nilishawahi kuuliza swali humu tangia muanze kuhubiri bikira nani kakutana nayo??? Out of millions of men wanaotumia JF pamoja na wale wanaume wenye fake ID 🤣🤣😆 ni wachache sana walikuwa na guts za kusema wamekutana nazo..majority ni hola, so bikira is overated here in JF...bebeni mangurumbembe yenu maisha yasonge...stop looking for a needle in haystack...

Wasalaam

Anita

Mimi huyoooooooo byeee

Unaona hata wewe unawafanyia wanawake wenzako ukatili kwa Kuwaiti mangurumbembe kwa kukosa Bikira. Unathibitisha kuwa thamani ya bikira kwa namna nyingine.

Ninachoweza kuungana na wewe ni kuwa.
Mwanamke anaweza kuwa bikira lakini asiwe bora.
Ni kama simu mpya ya Tekno au infinix haiwezi kufanana ubora na simu used ya IPhone 14 au 17
 
Wanaume wana mambo mengi kichwani,kuwaletea mada hii ni kuwachokoza mpenzi

Japo kuoa bikra ni muhimu sana,binti asipokengeuka na vijana wa mjini anakuwa hajui kitu kuhusu sex nje ya mumewe hivyo kumweshimu mume inakuwa ni 99%
Upo sahihi kabsaa mkuu
Hakika hujakosea
 
Ni lazima kama wanaume tu-set standards. Kama wao hawawezi date au kuolewa na broke men.

Kwa nini walazimishe bikra sio big deal. Binafsi siwezi lipia mahari mwanamke ambaye sio bikra, na chuchu imesimama.

Tukiwachekea watatulazimisha tubebe hadi wasio na bikra zote mbili ati wamesha-explore the world. Hell no

Natafuta Ajira . Weka neno lako mkuu
Hawataki wanaume tuwe na standard. Wanaume tuingie kwenye mahisiano na traditional sacrifices kama mahari, lifetime provision, protection, stability n.k lakini kupata traditional benefits zinazokuja na hizo sacrifices kama purity, virginity, loyalty iwe hiyali yao
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom