Sijatembelea meneo yanoifikia kuwa slums kwa muda mrefu sana tangu nijikwamue, lakini Dar yapo ambayo ni hayaHivi nitajie maeneo ambayo yanaweza kuwa slums hapa dar...kigogo? Msasani?wapi?
Unaijua manzese wewe?hii inayochipua Kila siku hotels na vitega uchumi vya Kila aina?Manzese.....hadi buguruni bonde lile loote slams
Usione hapo mita 500 kutoka barabarani useme kote...tembea manzese yoote hadi buguruni useme hicho ni nini ?Unaijua manzese wewe?hii inayochipua Kila siku hotels na vitega uchumi vya Kila aina?
Labda vile vijumba vya zamani vya urithi ndo umeona kigezo..haina sifa ya kuitwa slum
Ungetembele kwanza hayo maeneo Kisha uje kuandika tenaSijatembelea meneo yanoifikia kuwa slums kwa muda mrefu sana tangu nijikwamue, lakini Dar yapo ambayo ni haya
View attachment 3153466
Ila nilijenga mwana pale Mkolaninikiwa kati ya watu wa kwanza kujenga ikijulikana mjia utapanuka. baada ya miaka ishinini natano, Mkorani nilipojenga napo patakuwa Slum smuda wowote kwa vile viongozi wetu hawajui maana ya mipango miji kabisa. Niko mbioni kufikisha malalamiko yangu jiji ambapo kuna mtu amekuja kujenga kijumba chake kwa kutumia ukuta wa fense ya nyumba yangu kama ukuta mmojawapo wa nyumba yake kwa hiyo siwezi ku-maintain fense yangu tena. Nina mpango wa kubomoa ukuta huo usiko mmoja kabla ya kuujenga tena kwani ni wa kwangu ila kwanza ninataka mamla zijua jinsi slum zinavyojitokeza.
Sie tumepiga hatua mkuu...kama tungekuwa nazo hata katika hizo research za kimatafa tungekuwepo kwenye list.ni kweli dar zinaweza kuwepo slums sie tunaita uswahiliniUsione hapo mita 500 kutoka barabarani useme kote...tembea manzese yoote hadi buguruni useme hicho ni nini ?
slams=slums. Slams inaleta maana nyingine kabisaπManzese.....hadi buguruni bonde lile loote slams
Inawezekana hujui kuwa nilipomaliza chuo ujanani mwangu nikiwa napata mashahara wa Sh 5000 kwa mwenzi niliishi mojawapo ya maeneo hayo. Nilipojikwamua sikurudi tena, lakini haina maana ya kjuwa hayo tena.Ungetembele kwanza hayo maeneo Kisha uje kuandika tena
Nakubali slums zipo but elewa neno "biggest"Inawezekana hujui kuwa nilipomaliza chuo ujanani mwangu nikiwa napata mashahara wa Sh 5000 kwa mwenzi niliishi mojawapo ya maeneo hayo. Nilipojikwamua sikurudi tena, lakini haina maana ya kjuwa hayo tena.
Mwaka 2001 nilijenga bungalow pale Mwanza Mkolani pembeni ya kilima nikiwa peka yangu, baada ya miaka 15 kilima chote kimekuwa slum. In fact Mwanza sehemu zote za milimani ni slums sasa hivi.
Kwani jibu langu la kwanza lilisemaje? Nilisema kuwa tunazo slums lakini siyo kubwa za kufikia watu 80.000. rudi nyume ukaangalie niliandika nini. Nyumba yangu moja huko Mwanza imezungukwa na slums za watu kama 200 hadi 400 hivi lakini siyo wengi sana zaid ya kuwa kero tu.Nakubali slums zipo but elewa neno "biggest"
Maybe tunazo lakini sio Kwa Ukubwa huo wa wenzetu,tungekuwa kwenye list
Wewe huenda huijui Manzese na hujui maana ya 'Slum' zinazozungumziwa hapa, unaisikia.Manzese.....hadi buguruni bonde lile loote slams
Nilipita siku moja Kibera laaKabisa mkuu. Imagine huo mtaro unasimama hivo mizezi na miezi utakosa malaria na typhoid?
Lakini unakuta watu wanadunda
Halafu wao wenyewe kiasili wachafu
Nenda post 21 usomeeWewe huenda huijui Manzese na hujui maana ya 'Slum' zinazozungumziwa hapa, unaisikia.
Mazingira ya Manzese kwa zaidi ya 80% yameboreshwa vizuri huenda kuliko makao ya miji mingi hapa Tanzania.
Wewe ulishawahi kuona wapi slum ambayo:
1. Imejaa barabara za lami mitaani
2. Imejaa nyumba za maghorofa za kisasa
3. Utitiri wa hoteli za kisasa, lodge, bar, migahawa, mini supermarkets, kumbi za starehe nk.
4. Imejaa taa za barabarani za usalama za usiku.
5. Imejaa miundo mbinu ya mabomba ya maji, umeme na mitaro ya maji machafu.
6. Kuna shule binafsi nyingi la 'English medium'
7. Utiriri wa misikiti na makanisa makubwa/kisasa.
Nenda manzese utaona hayo.
Bahati mbaya miji ya Africa inavyozidi kukua na hizi slums zinaongezeka.Zipo lakini siyo kubwa za kufikisha watu 80,000.
HatarTEN BIGGEST SLUMS IN AFRICA BY POPULATION!
-1. Kibera, Kenya π°πͺ: 700,000
-2. Mathare, Kenya π°πͺ: 500,000
-3. Ajegunle, Nigeria π³π¬: 500,000
-4. Shomolu, Nigeria π³π¬: 400,000
-5. Khayelitsha, South Africa πΏπ¦: 400,000
-6. Cazenga, Angola π¦π΄: 400,000
-7. Makoko, Nigeria π³π¬: 300,000
-8. Alexandra, South Africa πΏπ¦: 200,000
-9. Mukuru Kwa Njenga, Kenya π°πͺ: 100,000
-10. Agbogbloshie, Ghana π¬π: 80,000
Mibaya sana.. Mabinti wadogo wa miaka 10 wanatembea na silaha kama visu bisibisi na nyembe. Wanavuta sigara na kuvuta bundi.. Wameshaharibika katika umri huoMitindo Yao ya Maisha ikoje humo?