Big up Miss TZ kwa uamuzi huu

Riwa i 100% agree with you!!!!!!!!!
Si roho ya kwa nini....inategemea unaliangalia suala hili kwa jicho gani! Wewe umeangalia upande wa Salha, what she wants...mimi naangalia upande wa mtoto, how best can this child be served! Na mara zote kwenye adoption ndio jicho linalotumika hilo, unamuangalia mtoto na haki zake kama zitaweza timizwa na mama/mwanamke/familia inayomuadopt. Huko uliko ughaibuni wanawake/couples zinazoadopt watoto huwa zinatakiwa hata kuattend classes fulani za malezi, au wengine kuattend sessions za counselling kuwatayarisha...kwani unapoadopt mtoto kisheria ni kama wako wa kumzaa (sio jambo la mzaa mzaa tu sababu tu 'you are on camera')!

Siku hiyo Salha alienda Muhimbili akiwa hana wazo la kuadopt mtoto...ni vizuri aliguswa na akataka kuadopt mtoto, lakini uamuzi wa kuwa na mtoto (iwe wa kuzaa mwenyewe au kuadopt) hauji ghafla hivyo in front of a camera! Ningeona ni busara zaidi kama baada ya kumuona yule mtoto akarudi nyumbani na akafikiria na kuomba ushauri jinsi gani ya kumsaidia yule mtoto, kama adoption ndio ingeonekana jibu sahihi basi na iwe hivyo...sio tu on the camera 'am going to make this baby mine, and call her Salha', it takes more than that...if youa are a parent, unanielewa nasema nini...kama bado, basi utakuja nielewa siku moja!
 
Back
Top Bottom