Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Nilijua, wengi ambao walikua hawataki dogo ashinde ni wanaija, ila wengine wote walishakubali

Kabisa ni mi comment yao kwenye screen twenty four seven Idris from nothing to something alikua haboi ka Tayo mgomvi
 
sio mfuatiliaji wa BBA wala siipendi , ila nilipiga kura 400 kwa idris, i pray atumie vizuri hizo hela alizopata
 
Tayo na ile misifa yake na sikutarajia kama atafika fainali.Japo sijaangalia finali ila hongera zake jamani japo sikutegemea idriss kama anaweza kuwa mshindi

Tayo alikua na mambo ya ajabu sana Idris nilijua anaweza kushinda kapigiwa na nchi NNE za East Africa Tayo kapigiwa na nchi Tatu
 
chunga kauli ndugu, we all tanzanians no matter our differences tukienda nje sisi ni wamoja.

Nichunge mimi au aliyekuwa anajoke kuhusu Nigerians kuwa busy na terrorists?
Elewa michango ndugu,i hate terrorists.
 
Karibu nyumbani idris, ngoja nikupe yaliyo jiri while ulikuwa uko mjengoni
1. Wema kaachana na chibu, chibu kajiegesha kwa zari "the boss lady".
2. Kuna ugonjwa mpya wa "tezi dume", unatibiwa marekani tu na unawapata sana sana viongozi wakubwa wa nchi
3. Kama una account Mkombozi ukifika kacheki, unaweza kuwa umepata gawio la escrow. Wengine wamepata mara tatu ya ulioshinda

Welcome back home
 
wapga majungu wamesha anza na majungu yao cjui nani aliwatuma waangalie ila mashetani mengne bhana yanatia hasira wivu tu yaone mimacho yao.Jamaa amewakilisha nchi yetu na ameshnda bdala ya kumpongeza yanapga jungu.
 

mie mwenyew hako kaugonjwa no.2 ninako ila pesa ya kwenda huko cna imebdi nianze kwa kugombea uenyekiti najua ntafika tu huko na kuwa fudodido wa nchi then wiki ya kwanz tu thetre europe
 
Tayo alikua na mambo ya ajabu sana Idris nilijua anaweza kushinda kapigiwa na nchi NNE za East Africa Tayo kapigiwa na nchi Tatu

Niliangalia wakati fulani nilimuona huyu Tayo, jamaa ni mvivu na pia ni mbinafsi. Sidhani kama alishawahi hata kuwa HoH.
Hakuwa akiosha vyombo wala kupika, alikuwa chuki za ajabu kwa washiriki wengine. Sijui kama alibadilika baadaye, lakini hakustahili kuwa mshindi.
Ova
 
jamani insta wabongo wamemshukia davido huko ni noomaa..hadi shoga ake diamond kamrudishia fumbo lake!!kimenuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…