Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Ukitaka kuamini mi mtabiri mzuri subiri how Africa voted

Ndo nasubiria kwa hamu nimefurahi hatari kabla ya kutangazwa mshindi wangemtaja Tayo sijui ingekuaje kweli utampita shekhe Yahya
 
Iv Kwahili Utasema Ashukuriwe mungu....! But Hongera Yake Kijana.
 
Kuna rafiki yangu mwandishi wa habari mwandamiz wa vyombo vya habari vya IPP MEDIA kanipigia cm anasema mzee Mengi amewaamrisha hiyo habari ya Idriss isipewe coverage kubwa kuliko scandal ya ESCROW hiyo kesho kwan anahisi itahamisha tension za watz.
 
Idris ndo itabidi aache kupiga picha I view, maana kwa huu mkwanja mrefu hivi unatosha hata kumuajiri hata Raque mwenyewe.
Hongera Idris kwa kupiga hii hela. Hongera kwa kuwaburudisha Waafrika hadi kuamua kukupigia kura za kutosha kuwa mshindi.
Ova
 
Mwambie, yale makundi ya team fulan lazima wamuwah. Ataitwa Hubby
 
unakumbuka mwisho aliporudi tu baada ya kuwa famous mshindi wa pili bba season 1, akaachana na demu wake akawavaa bongo celebrities

Yani akitaka apoteze hela yake awafate hawa machangu walioshindikana mjini watampoteza mazima Mwisho Ray c alimchuna baada ya kufulia akamtema kama ana akili akae mbali na hawa bongo movie
 
Tanzania’s Idris has won the 2014 edition of the BBA Hotshots, going home with a cash prize of $ 300,000.
Nigeria has won the competition three times while it is the second time Tanzania winning the competition.First was Richard! Congrats to him!
 
hongera zake kijana idris, dzain ka natamani ningeenda uko bba mie, manake nawaza izi hustle had nichange ije ifike m 500 sio leo. dah mamake pesa wew!
 
Getting involved
 

Attachments

  • 1417981236088.jpg
    56.4 KB · Views: 396
  • 1417981264340.jpg
    52.5 KB · Views: 389
Hebu wekeni hiyo lipicha lake.....na naomba tu kuuliza,je? Hili shindano lina faida gani kwa Taifa letu????

picha utaiona tu kesho kwenye magazeti,na kwnye tv screen yako kubwa ndo utamfaidi. kwny hiyo tekno hutamuona vizuri
 
Dollar 300,000 times 1600 ni kama sh ngapi
 
Kuna rafiki yangu mwandishi wa habari mwandamiz wa vyombo vya habari vya IPP MEDIA kanipigia cm anasema mzee Mengi amewaamrisha hiyo habari ya Idriss isipewe coverage kubwa kuliko scandal ya ESCROW hiyo kesho kwan anahisi itahamisha tension za watz.
Kesho fatilieni newsroom za IPP na newspaper
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…