Mweeee.......sasa tumbo langu limepoa.........
Alikua kajiaminisha akidhania ni mshindi na hivi anapenda kulia ngoja alie vizuri sasa hivi
woooooooooooyoooooooooooooooooooo
Thanks to EA, wametusapoti sana.
Jamani mwenye mchanganuo wa nchii zilivopiga kura weka hapa... hehehhee nimeshtuaje watu kwa kelele
Gotse kaanza kujilaumu kumkataa mwana
Wanaigeria wanafki sana.......umemuona huyo Lilian alivyoingia na kumrukia Tayo huku analia.......walijihakikishia sana kushinda.........