say it again
vipi kashinda mtanzania au?
Kashinda Idrisss
Tayoo atakufaa alishajionaa mshindi kwendraaaaa
watanzania watatuelewa tuu mwaka huu, thank you very much for such a sweetful updatesIdris hoyaaaaaaaaaaaaaaaa
Hakyamama.......nimeamini waTanzania na sisi tuna ubingwa wetu katika kitu..........
Idrisss mshindiiiiiii am so happy