dmaujanja1
JF-Expert Member
- Nov 24, 2008
- 223
- 68
Mbona kimya tunasubiri updates kwa sisi tulio porini
Imeshaanza housemate waliotoka wameandaa nyimbo wanacheza sa ivi
Huyu Mbongo hawezi kushinda kuna sehemu nimepita wanapiga maombi kukemea asishinde na akirudi aumwe kabisa! Wako serious sana wameweka mkesha kabisa! Nimecheka sana