Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Huyu Mbongo hawezi kushinda kuna sehemu nimepita wanapiga maombi kukemea asishinde na akirudi aumwe kabisa! Wako serious sana wameweka mkesha kabisa! Nimecheka sana
 
Maombi Tz au Rwanda?
Hahaaaa km Bongo mungu sio wao tu.
Kwa Rwanda ni dalili mbaya kuwa hawamtaki.
 
Mozambique Trezegar ana campaign kwa Tayo, tuombe mungu wampuuze.

Samantha wa South Africa na ndugu zake wote wanampigia kampeni Idris kwenye Instagram. Luis wa Namibia anampigia kampeni Idris kwenye Instagram. Arthur wa Rwanda anampigia kampeni Idris kwenye Instagram. Chameleon wa Uganda anampigia kampeni Idris kwenye Instagram.
Ova
 
safari hii nchi jirani wametuonyesha upendo wa hali ya juu..
 
My prediction tonight..
Idris - Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda

Tayo - Nigeria, Mozambique, ROA

Macky2 - Zambia, Namibia
 
nasubiri pale kiprezenta chao kitavyopayuka "This is Big Brother, and the winner issssss!!!! "
 
My prediction tonight..
Idris - Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda

Tayo - Nigeria, Mozambique, ROA

Macky2 - Zambia, Namibia

Namibia nao wanaweza kumpigia Idriss mana Luis na Permisias walikua wana mu campaign
 
Namibia nao wanaweza kumpigia Idriss mana Luis na Permisias walikua wana mu campaign

Yap wanaweza ila to be fair nahisi vote ya Namibia biggie atampa Macky2 kwa makusudi tu ili nayeye asiondoke na vote moja pekee
 
Yap wanaweza ila to be fair nahisi vote ya Namibia biggie atampa Macky2 kwa makusudi tu ili nayeye asiondoke na vote moja pekee

Sidhani aisee ila biggie kuna week mack two alikua atoke akamwacha ila Leo anything can happen kura moja mbona washiriki wengi watapata mana wako nane
 
Sasa leo ndio mtanange rasmi.........nani anachukua.......sijui.......ila nahisi JJ na Idris.........Kati ya hawa wawil.........
 
Sidhani aisee ila biggie kuna week mack two alikua atoke akamwacha ila Leo anything can happen kura moja mbona washiriki wengi watapata mana wako nane

Yap watapata wengi ila Macky2 ni ngumu kupewa moja.. Alikua na big role ndio maana hata ile wiki walimwacha..
 
idris anachukua
watakao mpigia; tanzania,kenya,uganda,rwanda & namibia
 
Back
Top Bottom