Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Watanzania tuungane na kumchagua mwenzetu Idris Sultan aweze shinda mashindano ya Big Brother Africa. Wiki hii ndio wiki ya mwisho na kinyang'anyiro ni kikali kweli. Ila Idris ana nafasi nzuri ya kushinda tukimpigia kura. Ameweza kuonyesha ni mtu mwenye vipaji lukuki na kuweza kwenda mbali kwa vipaji alivyonavyo.

Mpe kura yako Kwa;

1.Kura ya bure kupitia mtandao na simu mara 100 bila gharama yoyote. Unachohitaji ni kuweka namba yako kwenye link ya DSTV na ku-press Idris mara 100 .

Pitia hapa https://connect.dstv.com/4.0.863/en-ZA/Login/?returnUrl=http://bigbrotherafrica.dstv.com/vote

Haichukui zaidi ya dakika tano.

2.Download the WeChat app on your smartphone, add ID BigBrotherAfrica and vote up to 100 times FOR FREE !

3.Tuma sms Vote Idris kwenda namba 15426 kupitia mitandao yote Tanzania. Unaweza fanya mara 100.

4.Sehemu nyingine Africa tuma sms Vote Idris kwenda 2783142100414 mara 100

Asanteni
 
Ashinde asishinde inshiiiiii akipata hayo mapesa hataturushia hata buku

Anyway ngoj nimpigie ale bataa
 
Sory if nitaeleweka vibaya,dinazade c lazima uyu jamaa akishinda atulipe ndugu bt we chas proud to our tz...mawazo yangu ts lyk majuz ile team imeitangaza tz ktk nguo zao(sunderland Eg)
 
Hiyo We Chat nayo ya kiboya tu... Maprocess kibaaao utafikiri unaomba Visa kwenda kutibiwa tezi dume.. Mtu hata mzuka wa kuvote unaisha...aargh.

Umeonaaaa mi nimeshindwaa
 
Hiyo We Chat nayo ya kiboya tu... Maprocess kibaaao utafikiri unaomba Visa kwenda kutibiwa tezi dume.. Mtu hata mzuka wa kuvote unaisha...aargh.

Ahahahh ahaha eti utafikir unaomba visa, duh , ila na wenyewe kiboko aiseh process kibao
 
Umeonaaaa mi nimeshindwaa

Na kura yenyewe sipig mie nshachoka, ila idris is the finest contestant in BBA he knows how to play the game, i wish him all the best ila suala la kumpigia kura mtanisamehe, yani nitoe 600?? Mia tano yenyew ya kujiunga na extreme pack inanishindaga haya naanzaje kutumia mia sita warumi mie??
 
Ahahahh ahaha eti utafikir unaomba visa, duh , ila na wenyewe kiboko aiseh process kibao

Yaan acha ndugu... Nimeanza na website... Shidaaa... Nikaona niingie We chat huko nako msururu wa ma verification code... Kwa kweli 600 kutoa ni ngumu sana... Wacha tu jitihada zangu ziishoe hapa..
 
Na kura yenyewe sipig mie nshachoka, ila idris is the finest contestant in BBA he knows how to play the game, i wish him all the best ila suala la kumpigia kura mtanisamehe, yani nitoe 600?? Mia tano yenyew ya kujiunga na extreme pack inanishindaga haya naanzaje kutumia mia sita warumi mie??

Hhhheeeeeeeeereee
 
Wanitue , ingekuwa umbea ningejiminya nitoe, mtu sio ndugu yangu wala rafik naanzaje kujipendekeza kias hicho, halafu akishinda hakujui

Hahaha jaribu kura za wechat labda hazitaku cost au website
 
Na kura yenyewe sipig mie nshachoka, ila idris is the finest contestant in BBA he knows how to play the game, i wish him all the best ila suala la kumpigia kura mtanisamehe, yani nitoe 600?? Mia tano yenyew ya kujiunga na extreme pack inanishindaga haya naanzaje kutumia mia sita warumi mie??

Warumi we ni janga la kitaifa
 
Back
Top Bottom