Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
kwani leo ndo mwisho?
Yaani sikuwahi kufuatilia leo ndo nimeona nichungulie hapa kumbe ndo mwisho,du sijui nani atashindaLeo ndio mwisho my dear yaani...
Idris vs Tayo
Leo ndio mwisho my dear yaani...
Idris vs Tayo
Aisee so hard this night Idriss akishinda nitafuraije mi
Yaani sikuwahi kufuatilia leo ndo nimeona nichungulie hapa kumbe ndo mwisho,du sijui nani atashinda
Tumbo joto hapa mimi
Jamani uwiiii OMG Huyu Tayo
huyuu mnigeria anachukua piga ua
huyuu mnigeria anachukua piga ua
Kabaki Tayo na Idris uwiiiii
Sijui nani atashinda