Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Unataka vita wewe. Zanzibar ni nchi na maamuzi yanafanywa kwa pamoja hehehe. Akienda mwanamke wa kizanzibar mule ndani akitoka atafute hifadhi msumbiji
Hivi hili jambo ni la Muungano au linahusu Tanganyika tu?
Mbona siwaoni Wazanzibar wakisaidiana na wabara kuchotea nchi sifa za ngono?
Ila serikali ipeleke Big Brother wanawake waliokeketwa huenda itapunguza hii dhahma.
 
Kula ni kitu gani ?

Naona kuna tatizo kubwa sana sasa hivi kwenye uandishi kwa kutumia lugha ya kiswahili.Sielewi kwa nini watu hawajui kuandika maneno ya kiswahili kwa ufasaha. Kura unaandika kula aisee ni kichefuchefu kabisa yaani imefikia hatua hadi lugha yetu ya kiswahili inatushinda!
 
Eti
USA + Russia + Vodka + Laveda + BBA = Masturbation

Kweli JF ~ home of great thinkers
 
Yaan..eti
USA + Russia + Vodka+ Laveda + BBA = Masturbation

Kweli JF ~ home of great thinkers.

Ha ha ha hiyo theory ni balaa,jamaa ame-relate mpaka suala la putin kuja Tanzania na vodka+cold war aisee huyu jamaa ni shida.
 
Huyu demu hii ni tabia yake. Inaonekana akiwa chumbani peke yake huyu anascore hata goli kumi. Ni shiiidah
 
Sasa nyie kwenye danguro la BBA mlitaka akafanye nn??? zaid ya ufuska kuna kingine kinachohtajika BBA?? kwan hata richard si alikiwa anado live...
 
Ha ha ha hiyo theory ni balaa,jamaa ame-relate mpaka suala la putin kuja Tanzania na vodka+cold war aisee huyu jamaa ni shida.

mbona sheeeda coz niliisoma response ya mwanajamvi then nikaona labda nina hang over sikuelewa
laveda kapiga puli kwa raha zake kwani majority of house met in bb walikunywa ile vodka
the issue here is our sister laveda fail to control herself PERIOD!
ukiona umelewa slow acha or slow down mr putin hakuingia big brother na kummiminia vodka laveda so if mr vodka is coming bongo let him come and advertise it and m some of us gonna keep on buying it
 
Naomba picha wakati laveda anajipiga hiyo kitu nimuone. Kwani mwanamke anamasterbation naomba nielewe mi ata cjuwi wenzangu
 
Leo ndio tutajua kama Laveda atabaki mjengoni au la..?

Can't wait to see eviction show tonight..!
 
Eishiiii
Haka ka laveda kanastahili kuchapwa makofi. Kanajutia kweli kalichofanya, anaongea upuuzi na ujinga mtupu. Kaomba msamaha kwa viewers ..huku anajichekea.

Aje tu Shigongo aongeze mauzo ya novemba. Na amsaidie sitti mtemvu kutoka midomoni mwa watu. NOW WE ARE GOING TO CHANGE THE Cd..hi hi hiiiiii

Feeling very shame on her behalf.
 
Back
Top Bottom