Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Yule atoke tu leo! Atabaka mtu bure

ImageUploadedByJamiiForums1414248020.597314.jpg

Aisee
 
Kwani humo kunategemewa mtu mwenye maadili ndo ashinde, historia ya hilo shindani linaonesha watu wa ovyoovyo ndo huwa wanakuwa maarufu na kushinda
 
Sio mtu wa kujichanganya sana mpaka muda huu. Hana stori nyingi kama ilivyo kwa washiriki wengi waliomo. Yuko busy na kibinti fulani sijui cha nchi gani, anakibeba beba mgongoni na kuhama hama nacho vyumba. Na ana usinga mkononi kama mganga wa kienyeji.
ova
Hahahahahaaaa!
 
Hakuna Binadamu Kamili Anaweza Kushiriki Upumbavu kama Wa BBA
 
majanga! naona mpk ustadh idrissa uzalendo ukamshinda
 
Kwa nini wawakilishi wa BBA kutoka Bongo mara nyingi wana majina ambayo siyo common huku Uswazi? Mfano: Laveda, Nando, Mwisho, Feza...

Mbona sijawahi kusikia majina kama: Juma, Sikujua au Mwajuma kwenye haya mashindano?
 
Hivi mi sijaelewa humo BBA wanaongia wana sifa gani mbona ni kama wanaoingia ni wale wasiojitambua??
 
Kwa nini wawakilishi wa BBA kutoka Bongo mara nyingi wana majina ambayo siyo common huku Uswazi? Mfano: Laveda, Nando, Mwisho, Feza...

Mbona sijawahi kusikia majina kama: Juma, Sikujua au Mwajuma kwenye haya mashindano?

Hizo ni a.k.a zao mf. Laveda jina lake halisi ni Irene.. Nando jina halisi ni Amir Khan ..mwisho na feza hayo ni majina yao halisi ya kwenye passport
 
watu kama hao ndo wa kunyonga coz wanadharirisha wanaume INA maana hakukuwa na MTU wa kumridhisha au fuuuuuuuuuuuuuck
 
Hivi hili jambo ni la Muungano au linahusu Tanganyika tu?
Mbona siwaoni Wazanzibar wakisaidiana na wabara kuchotea nchi sifa za ngono?
Ila serikali ipeleke Big Brother wanawake waliokeketwa huenda itapunguza hii dhahma.
 
Wakati fulani nikipita kwenda kwenye channel ninazozitaka huwa najikuta nimepitia channel zinazoonesha wanachoita Big Brother Afrika. Humo huwa naona vijana wa kiume na kike wakilala pamoja, wakioga pamoja, wakihojiwa, wakicheza, wakipika, wakiimba, na mengine mengi ambayo katika utamaduni wa kiafrika yasingekuwa ya kawaida tena hadharani. Sasa mimi huwa sielewi ni nini kinachokusudiwa na hicho kinachoitwa shindano la BBA. Ni kwaajili ya kujifunza au kufundisha nini? Je hao vijana wakitoka hapo wanakuwa watu wa aina na wenye manufaa gani kwa jamii. Mwanzoni nikifikiri kwa jina lake itakuwa ni wavulana watupu, kumbe na wasichana wamo yaani ni kama kusema Big Brothers and Sisters Afrika. Yaani sielewi hata nikiangalia sijui lolote na sioni la kujifunza au vijana wa Tanganyika kujifunza ingawa nasikia kuna mmoja aliwahi kuibuka na Mil 100 hata sijui aliishia wapi na ana manufaa gani kwa jamii.

Uelewa mdogo wa wabongo, kitu hakikuhusu achana nacho, nenda kaswali, hii show kwa taarifa yenu wabongo inaangaliwa na watu kibao vyumbani na inapendwa balaa Serikali bungeni walishawahi kupiga marufuku show hii na kutoa matamko mengi ya kihafidhina NA WAKACHEMSHA. wanamegwa w.a.k.e zenu seuze dada yetu,
 
Back
Top Bottom