Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Bongo tuna mtu mmoja tu anayeweza kutuwakilisha BBA,ni MWISHO MWAMPAMBA ingewezekana kila mwaka awe anaenda kutuwakilisha hao wengine wanatutia aibu tu

Mwisho was better kuliko wote.ile season yao haya mambo yasasa hayakuwepo
 
jana laveda alikuwa anasema alikuja bb kutafuta kick as she wanna be a musician and she has record already 5 singles
so tumtarajie kwenye majukwaa yetu
 
Alokwambia anawakilissha Tz nan?Wengne hatufatilii uo upuuz kma hamna habar njoen mbwinde uk zipo za kumwaga
 
Yani mie najiuliza sijui wazazi wake wataenda airport kumpokea?Yani kajitia aibuuu!!!
 
nataka nije NIMKAZE vizuri huyo bibie LAVEDa tena maadam ni Mhaya mwenzangu nataka nimpige KA.TERERO ya nguvu. hiv unajipigaje vidole wakati sisi kaka zako tuliotoka wote Bukoba tupo?
 
nominated list are

sheila
Mr. 265
mack2
kacey moore
luis
auther
permithias
 
Mi najitolea kwenda kumpokea Laveda halafu nikampe ile Dawa yetu Wahaya ya kumtuliza mdada ambae ana minyege ka Lavea. Karibu Laveda. WAKORA WAITU.
 
Welcome back home it's just a game,forget about BBA house take it easy my sister ImageUploadedByJamiiForums1414389420.196029.jpg
 
Jj ni new head of house sijui atamweka nani asije akamweka Idriss kwa ajili ya Samantha
 
Back
Top Bottom