hatahivyo mchezo mzima wa bba lengo lao ni kutaka au kushawishi kila mtu afanye uchizi wake mbele ya watu kwa ajili ya wao bba wapate pesa, haiwezekani ukaweka wasichana na wavulana wanalala chumba kimoja , pombe za bure, wanaoga pamoja unategemea nini kitatokea basi mwisho wa siku ukimlaumu laveda basi bba nao walaumiwe kwa kuwashawishi vijana wa kiafrika kuiga utamaduni wa wazungu kwa lengo la kujipatia ela.
Idris nae ameishiwa mbinu za mchezo anamtongoza kila wakati binti wa ki botswana , binti anasema anataka wakubwa hataki watoto kama idris, lakini bado idris anamng'ang'ania kama vile ametumwa kwenda kutongoza na sio kushinda ela vilevile anautani kwa wenzake kila wakati wa kupitiliza hajatulia hajui muda gani wa kutania na muda gani wa kutulia,mwisho wa siku binti ameshampuuza