ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
Tanzania haijawai Kupeleka mshiriki, ila watanzania wanashiriki.
Nimeipenda hiyo.
Tanzania haijawai Kupeleka mshiriki, ila watanzania wanashiriki.
Channel gan inaoneasha big brother?
malaya tu km wengine
Wenye azam tumebaniwa aise
Mtaangalia mipira ya waakina Lipuli,simba na yanga mpaka muombe poo wenyewe.
DAUDI Mshiriki wa kike yupo anaitwa Lavida. Ndiye mshiriki anayeongoza kwa kura nyingi 87%.tena bora kaenda wa kiume maana angeenda wa kike angetia aibu mara dufu.
tena bora kaenda wa kiume maana angeenda wa kike angetia aibu mara dufu.
Wako wawili wa Kike na wa kiume
Idrisa na Laveda
unajua ili mtoto wa kike ashinde anapaswa kufanya nini mbele ya camera?