Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Big Brother Africa 2014 (Hot Shots) - Special thread

Yule mshkj wa bongo kaulizwa swali na alivyojibu Girls mpk muuliza swali akakaa kimya.Na wasiwasi kama atakuwa real yule dada naye amekaa ki sexy hivi japo alipuliza lile linaitwa nini sijui vzr kweli.
 
Huyu Idris naanza kumuangalia kwa jicho la tatu nahisi hatafika mbali

Jamaa yupo kimya sana mpaka kero hata kumuangalia bora hata Laveda amechangamka sana na anajichanganya na watu.
 
Demu wa Tz tayari wameshagegeda mkuu.Tena leo alfajiri
 
Sisi wenye Startimes tunaipataje hii Big Brother..?
????
 
Sio mtu wa kujichanganya sana mpaka muda huu. Hana stori nyingi kama ilivyo kwa washiriki wengi waliomo. Yuko busy na kibinti fulani sijui cha nchi gani, anakibeba beba mgongoni na kuhama hama nacho vyumba. Na ana usinga mkononi kama mganga wa kienyeji.
ova

Hahaaaa
By the way..alijisemea jamank..moja ya malengo yake ni pamoja na kukamatia vidada.

So he is achieving his mission lols
 
Ungeweka na Live Streaminl Links kwa tunaotumia Computer na hatuna access na tv.
 
Haahaah wabongo bhana mkila dada wa watu mnafurahi wakigegedwa dada zenu mnaleta noma balaaa
 
Hii ni aibu jamani..kweli sasa namuunga mkono Matola kwa kukataa huu uchafu...hivi ni sifa au?kugegedwa hadharani???wana tofauti gani na ma porn star???

Ndo kilichompeleka acha wajisevie...akipata gono asilie km nando
 
Last edited by a moderator:
Jamani nasikia kin`gamuzi cha zuku nao wanaonyesha big brother ni kweli? mwenye kujua anieleweshe?
 
hakuna kupima,we kama una gono unaiingia tu uwaambukizeee vizuri mchezo wenyewe si wakishetan sasa shetani si anahamasishaga watu wapime Dinazarde? sema demu wa kibongo bado hajamegwa jama amezusha tu

Duuu hatareee sanaaaa, miezi 3 sio mingii jamani mtu anashindwa kuvumiliaa unaliwa aibu sanaaa aiseee, acha waambukizanee
 
Back
Top Bottom