sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,667
Laveda naye kapoa hajichanganyi na wenzio
Upo muda bado, she is tryn to be relevant.. Ni rahis kuipandisha character yake atakavyo coz ni km hajatoa silaha hata moja ghalani.. Tofauti na Lilian kashatoa silaha zake zote kurudi nyuma ataharibu.. Unapokuwa cool mwanzoni inakusaidia kutokuwa fulstrated all th way.. Btw she is th head of th house ana advanteg ila akiendelea kupoa sn hana wiki tatu